National News

WAKAAZI JIMBONI MARSABIT WAHIMIZWA KUJISAJILI KWA BIMA MPYA YA SHI

Na Caroline Waforo, Wakaazi jimboni Marsabit wamehimizwa kujisajili kwa bima mpya ya SHIF. Ni wito ambao umetolewa na naibu kamishna wa Marsabit ya kati David Saruni ambaye amezungumza na Shajara Ya Radio Jangwani. Kulingana na Saruni bima hii mpya ya afya itawawezesha wananchi wote kupata matibabu ya bure. Saruni amewataka[Read More…]

Read More

RAIA WAWILI WA ETHIOPIA NA MKENYA MOJA WAMESHTAKIWA KATIKA MAHAKAMA YA MARSABIT KWA KUMILIKI SILAHA HARAMU.

Na Caroline Waforo, Raia wawili wa Ethiopia na mkenya moja wameshtakiwa katika mahakama ya Marsabit kwa mashtaka kadhaa ikiwemo kumiliki silaha haramu. Washukiwa hao ambao wanajumuisha mkenya Roba Sora almaarufu Kolo, raia wa Ethiopia Rob Jarso almaarufu Salo pamoja na Galgallo Boro almaarufu Halkano walikamatwa tarehe 15 mwezi Oktoba mwaka[Read More…]

Read More

SHIRIKA LA KWS MARSABIT LAWARAI WANANCHI KUCHUKUA KUJITOKEZA KUTEMBELEA MBUGA MBALIMBALI ZA WANYAMA HAPA JIMBONI. – JUMAMOSI HII TAREHE 28.

Na JB Nateleng, Kufuatia agizo la serekali la kuwaruhusu wakenya kutembelea mbuga za Wanyama bila malipo jumamosi hii, shirika la wanyamapori (KWS) Marsabit limewashauri wananchi kuchukua fursa hii na kutembelea mbuga mbalimbali za  Wanyama hapa jimboni. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya Kipekee, msimamizi wa Mbuga za wanyama pori[Read More…]

Read More

MASHIRIKA YANAYOENDELEZA VITA DHIDI YA DHULMA ZA KIJINSIA JIMBONI MARSABIT YANAPANIA KUUNDA KAMATI MAALUM YA KUANGAZIA NAMNA YA KUPUNGUZA VISA HIVYO.

Na Isaac Waihenya & Kame Wario, Mashirika yanayoendeleza vita dhidi ya dhulma za kijinsia hapa jimboni Marsabit yanapania kuunda kamati maalum ya kuangazia namna ya kupunguza visa hivyo hapa jimboni. Kwa mujibu wa afisa wa miradi katika shirika la MWADO Mary Nasibo, ni kuwa kamati hiyo itarahisisha mambo na kuhakikisha[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter