Editorial

KAMATI YA MAJI, MAZINGIRA NA ARDHI KATIKA BUNGE LA KAUNTI YA MARSABIT IMEITAKA SEREKALI YA KITAIFA KUITANGAZA HALI YA KUFURA KWA ZIWA TURKANA KUWA JANGA LA KITAIFA.

Na Isaac Waihenya & JB Nateleng, Wawakilishi wadi hao wakiongozwa na MCA wa eneo la Loiyangalani Daniel Emojo na mwakilishi wadi mteule Daniela Lenatiyama wametaja kwamba wananchi wa eneo hilo wamekuwa wakihangaika tangu maji yalipoongezeka huku taasisi mbalimbali ikiwemo elimu zikiadhirika. MaMCAs hao wametoa wito kwa serekali kuu kuweza kuingilia[Read More…]

Read More

TUKUMBATIE TEKNOLOJIA MARSABIT ILI KUBORESHA UJUZI NA KUWAPA AJIRA VIJANA. – ASEMA MKURUGENZI WA MKAHAWA WA EBISA MARSABIT, ABDIKADIR DOYO WARIO

Na JB Natelng, Suala la Teknolojia linafaa kuangaziwa kwa undani katika kaunti ya Marsabit ili kuboresha ujuzi wa vijana ambao mara nyingi hujikuta mtaani bila ajira. Haya yamekaririwa na mkurugenzi wa mkahawa wa Ebisa  hapa mjini Marsabit, Abdikadir Doyo Wario. Akizungumza na wanahabari baada ya kutoa hamasa kwa vijana kuhusu[Read More…]

Read More

SHIRIKA LINALOSHULIKIA MASWALA YA AFYA YA AKILI LA OPEN MINDS COMMUNITY FOCUS (OMCF LAZINDULIWA RASMI JIMBONI MARSABIT.

Na Isaac Waihenya, Serekali ya kaunti ya kaunti inashughulikia swala la kuwepo kwa wataalam wa afya ya akili katika vituo vya afya mashinani. Hili limefichuliwa na waziri wa jinsia katika kaunti ya Marsabit Jeremiah Ledanyi. Akizungumza wakati wa zoezi la uzinduzi wa shirika la Open Minds Community Focus (OMCF)linashulikia maswala[Read More…]

Read More

NI ASILIMIA 0.001 YA BAJETI YA KITAIFA AMBAYO HUELEKEZWA KATIKA KUSHUGHULIKIA MASWALA YA AFYA YA AKILI NCHINI. – ASEMA MTAALAM WA AFYA YA AKILI JIMBONI MARSABIT VICTOR KARANI

Na Isaac Waihenya,  Serekali imetakiwa kuongeza mgao unaolekezwa katika kushughulia maswala ya afya ya akili nchini. Kwa mujibu wa afisa anayesimaamia kitengo cha afya ya akili katika hospitali ya rufaa ya Marsabit Victor Karani ni kuwa  mgao unaoelekezwa katika kushughulikia maswala ya afya ya akili ni wa chini mno. Akizungumza[Read More…]

Read More

KLINIKI ZA KIBINAFSI MJINI MARSABIT ZAONYWA DHIDI YA KUTOTUPA OVYO VIFAA VILIVYOTUMIKA VYA KIMATIBABU

. Na Isaac Waihenya, Onyo kali imetolewa kwa kliniki za kibinafsi mjini Marsabit dhidi ya kutotupa vifaa vilivyotumika vya matibabu kwa njia isiyofaa. Onyo hii imetolewa na afisa wa afya katika kaunti ndogo ya Saku Daktari Duba Doyo Abduba, ambaye ametaja kwamba kumekuwepo na ongezeko la vifaa vya kimatibabu ambavyo[Read More…]

Read More

ARDHI ILIYONYAKULIWA NA MABWENYENYE HAPA JIMBONI MARSABIT INAFAA IREJESHWA MARA MOJA.-ASEMA MWANAHARAKATI WA KUPIGANIA HAKI ZA KIBINADAMU MOHAMMED HASSAN.

Na Caroline Waforo, Serikali itawaachia ardhi baadhi ya watu wanaokalia kipande cha ardhi ya msitu wa Marsabit kama vile Hulahula na Karare. Haya yamebainika leo wakati wa uzinduzi wa Kamati ya watumizi wa huduma za mahakama CUC kaunti ya Marsabit. Akizungumza wakati wa zoezi hilo hakimu mwanadamizi wa mahakama ya[Read More…]

Read More

WAUGUZI KATIKA KAUNTI YA MARSABIT WAMEAPA KUENDELEA NA MGOMO WAO HADI PALE SERIKALI YA KAUNTI YA MARSABIT ITAKAPOSHUGHULIKIA MATAKWA YAO YOTE.

Na Caroline Waforo, Wauguzi katika kaunti ya Marsabit wameapa kuendelea na mgomo wao hadi pale serikali ya kaunti ya Marsabit itakaposhughulikia matakwa yao yote. Mgomo huo ambao umeingia siku yake ya nne hii leo Alhamisi umetatiza kabisa huduma za Afya katika hospitali zote za umaa hapa jimboni ikiwa ni pamoja[Read More…]

Read More

VIJANA KATIKA KAUNTI YA MARSABIT WAMETAKIWA KUCHUKUA MIKOPO YA KUANZISHA BIASHARA BADALA YA KUTEGEMEA KUJIARIWA PEKEE

Na Isaac Waihenya, Vijana katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kujiunga na biashara badala ya kutegemea kujiariwa. Kwa mujibu wa mmoja wa wakurugenzi wa chama cha wafanyibiashara KNCCI Tawi la Marsabit Joseph Gubo ni kuwa vijana wanafaa kuangazia kujiari badala ya kuajiriwa ili kuhakikisha kwamba wanatatua swala la ukosefu wa ajiri[Read More…]

Read More
photo courtesy

DHULMA ZA KIJINSIA, MIHADARATI NA HATA UGUMU WA MAISHA YATAJWA KAMA MASWALA YANAYOCHANGIA ONGEZEKO LA IDADI YA WATU WANAOUGUA MARADHI YA AFYA YA AKILI.

Na Isaac Waihenya, Wahudumu wa afya wa nyajani (CHPs) pamoja na wahudumu wa afya wasaididi (CHAs) waitaja dhulma za kijinsia, mihadarati na hata ugumu wa maisha kama maswala yanayochangia ongezeko la idadi ya watu wanaougua maradhi ya afya ya akili. Wakizungumza na vyombo vya habari wahudumu hao wa afya wakiongozwa na[Read More…]

Read More

HUDUMA ZA MATIBABU KATIKA HOSPITALI ZA UMMA KATIKA KAUNTI YA MARSABIT KUZOROTEKA ZAIDI BAADA YA WAHUDUMU WA MAABARA KUANZA RASMI MGOMO WAO USIKU WA KUAMKIA LEO JUMATANO.

Na Caroline Waforo, Huduma za matibabu katika hospitali za umma katika kaunti ya Marsabit zinataendelea kuathirika hata zaidi baada ya wahudumu wa maabara kuanza rasmi mgomo wao usiku wa kuamkia leo jumatano. Akizungumza na Shajara Ya Radio Jangwani kwa njia ya simu katibu wa muungano wa wahudumu wa maabara Barako[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter