Editorial

WAKAAZI WA KAUNTI YA MARSABIT WATOA HISIA KINZANI KUHUSIANA NA MAPENDEKEZO YA SENATA WA NANDI SAMSON CHERARGEI YA KUTAKA KUONGEZEWA KWA MUDA WA MUHULA WA KUTALAWA KUTOKA MIAKA MITANO HADI MIAKA SABA.

Na Talaso Huka, Wakaazi wa kaunti ya Marsabit wametoa hisia kinzani kuhusiana na mapendekezo ya Senata wa Nandi Samson Cherargei ya kutaka  kuongezewa kwa muda wa muhula wa kutalawa kutoka miaka mitano hadi miaka saba. Baadhi ya waliozungumza na Radio Jangwani wametaja kughadhabishwa na pendekezo hilo huku wakitaja kwamba viongozi[Read More…]

Read More

MASHIRIKA YANAYOENDELEZA VITA DHIDI YA DHULMA ZA KIJINSIA JIMBONI MARSABIT YANAPANIA KUUNDA KAMATI MAALUM YA KUANGAZIA NAMNA YA KUPUNGUZA VISA HIVYO.

Na Isaac Waihenya & Kame Wario, Mashirika yanayoendeleza vita dhidi ya dhulma za kijinsia hapa jimboni Marsabit yanapania kuunda kamati maalum ya kuangazia namna ya kupunguza visa hivyo hapa jimboni. Kwa mujibu wa afisa wa miradi katika shirika la MWADO Mary Nasibo, ni kuwa kamati hiyo itarahisisha mambo na kuhakikisha[Read More…]

Read More

WITO UMETOLEWA KWA WAKAZI WA MARSABIT KUASI VITENDO AMBAVYO VINAPOTOSHA MAADILI NA KUPELEKEA ONGEZEKO LA IDADI YA VIJANA WANAOTUMIA MIHADARATi.

Na Isaac Waihenya, Wito umetolewa kwa wakazi wa Marsabit kuasi vitendo ambavyo vinapotosha maadili na kupelekea ongezeko la idadi ya vijana wanaotumia mihadarati. Kwa mujibu wa mwanaharakati anayepambana na matumizi ya mihadarati na dawa za kulevya hapa jimboni Fredrick Ochieng, ni kuwa vijana wa kizazi hiki wanajifunza mambo mengi kupitia[Read More…]

Read More

IDARA YA UVUVI YAWATAHADHARISHA WAKAAZI JIMBONI KUACHA KUTUMIA USAFIRI WA MAJINI KWA SASA KUTOKANA NA MAWIMBI NA KUPANDA KWA MAJI YA ZIWA TURKANA.

Na JB Nateleng, Kama njia mojawepo ya kuzuia ajali katika ziwa Turkana, idara ya uvuvi imewatahadharisha wakazi jimboni kuacha kutumia usafiri wa majini kwa sasa kutokana na kuwepo kwa  mawimbi na kupanda kwa maji ya ziwa Turkana. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya simu, Sostine Nanjali ambaye ni afisa[Read More…]

Read More

WAKAAZI WA MARSABIT WATOA HISIA ZAO KUHUSIANI NA KUWEPO KWA NJAMA ZA KUMBANDUA MAMLAKANI NAIBU WA RAIS RIGATHI GACHAGUA.

Na Isaac Waihenya & Abiaziz Abdi & Kame Wario, Wakaazi wa Marsabit wametoa hisia zao kuhusiani na kuwepo kwa njama za kumbandua mamlakani naibu wa rais Rigathi Gachagua. Baadhi ya waliozungumza na Shajara ya Radio Jangwani wametaja kwamba iwapo kuna njama ya kumgo’a mamlakani naibu wa rais Rigathi Gachagua, basi[Read More…]

Read More

HUKU ULIMWENGU UKIADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA LUGHA YA ISHARA MAARUFU INTERNATIONAL SIGN LANGUAGE DAY, WITO UMETOLEWA KWA JAMII YA MARSABIT KUTOWAFICHA WATU WANAOISHI NA ULEMAVU.

Na Isaac Waihenya,  Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya Kimataifa ya Lugha ya Ishara maarufu International Sign Language Day, wito umetolewa kwa jamii ya Marsabit kutowaficha watu wanaoishi na ulemavu. Kwa mujibu wa ACC wa Marsabit Andrew Chepkonga ni kuwa jamii imekuwa ikiwaficha watu wanaoishi na ulemavu na kuwanyima haki zao[Read More…]

Read More

KAMATI YA MAJI, MAZINGIRA NA ARDHI KATIKA BUNGE LA KAUNTI YA MARSABIT IMEITAKA SEREKALI YA KITAIFA KUITANGAZA HALI YA KUFURA KWA ZIWA TURKANA KUWA JANGA LA KITAIFA.

Na Isaac Waihenya & JB Nateleng, Wawakilishi wadi hao wakiongozwa na MCA wa eneo la Loiyangalani Daniel Emojo na mwakilishi wadi mteule Daniela Lenatiyama wametaja kwamba wananchi wa eneo hilo wamekuwa wakihangaika tangu maji yalipoongezeka huku taasisi mbalimbali ikiwemo elimu zikiadhirika. MaMCAs hao wametoa wito kwa serekali kuu kuweza kuingilia[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter