Jimbo katoliki la Marsabit laadhimisha miaka 60 ya kueneza Injili.
November 23, 2024
Na Caroline Waforo, Mhudumu moja wa bodaboda ameuawa kwa kupigiwa risasi na watu wasiojukalana usiku wa kuamkia leo alhamisi. Mwanaaume huyo wa umri wa makamu alipigwa risasi na watu wasiojulika eneo la Manyatta Shrine viungani mwa mji wa Marsabit mida ya saa sita unusu. Hakuna kitu kilichoibwa katika kisa hicho[Read More…]
Na Talaso Huka, Wakaazi wa kaunti ya Marsabit wametoa hisia kinzani kuhusiana na mapendekezo ya Senata wa Nandi Samson Cherargei ya kutaka kuongezewa kwa muda wa muhula wa kutalawa kutoka miaka mitano hadi miaka saba. Baadhi ya waliozungumza na Radio Jangwani wametaja kughadhabishwa na pendekezo hilo huku wakitaja kwamba viongozi[Read More…]
Na Isaac Waihenya & Kame Wario, Mashirika yanayoendeleza vita dhidi ya dhulma za kijinsia hapa jimboni Marsabit yanapania kuunda kamati maalum ya kuangazia namna ya kupunguza visa hivyo hapa jimboni. Kwa mujibu wa afisa wa miradi katika shirika la MWADO Mary Nasibo, ni kuwa kamati hiyo itarahisisha mambo na kuhakikisha[Read More…]
Na Isaac Waihenya & Abdiaziz Abdi & Kame Wario, Wazazi wametakiwa kuwalinda wanao haswa wakati wa likizo ndefu ya mwezi disemba ili kuwaepusha na dhulma zozote dhidi yao. Kwa mujibu wa afisa anayesimamia maswala ya jamii katika shirika lisilokuwa la kiserekali la SIF hapa jimboni Marsabit Halima Hirbo ni kuwa[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Wito umetolewa kwa wakazi wa Marsabit kuasi vitendo ambavyo vinapotosha maadili na kupelekea ongezeko la idadi ya vijana wanaotumia mihadarati. Kwa mujibu wa mwanaharakati anayepambana na matumizi ya mihadarati na dawa za kulevya hapa jimboni Fredrick Ochieng, ni kuwa vijana wa kizazi hiki wanajifunza mambo mengi kupitia[Read More…]
Na JB Nateleng, Kama njia mojawepo ya kuzuia ajali katika ziwa Turkana, idara ya uvuvi imewatahadharisha wakazi jimboni kuacha kutumia usafiri wa majini kwa sasa kutokana na kuwepo kwa mawimbi na kupanda kwa maji ya ziwa Turkana. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya simu, Sostine Nanjali ambaye ni afisa[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya Kimataifa ya Lugha ya Ishara maarufu International Sign Language Day, wito umetolewa kwa jamii ya Marsabit kutowaficha watu wanaoishi na ulemavu. Kwa mujibu wa ACC wa Marsabit Andrew Chepkonga ni kuwa jamii imekuwa ikiwaficha watu wanaoishi na ulemavu na kuwanyima haki zao[Read More…]
Na Isaac Waihenya & JB Nateleng, Wawakilishi wadi hao wakiongozwa na MCA wa eneo la Loiyangalani Daniel Emojo na mwakilishi wadi mteule Daniela Lenatiyama wametaja kwamba wananchi wa eneo hilo wamekuwa wakihangaika tangu maji yalipoongezeka huku taasisi mbalimbali ikiwemo elimu zikiadhirika. MaMCAs hao wametoa wito kwa serekali kuu kuweza kuingilia[Read More…]
Na JB Nateleng & Naima Abdullahi, Wito umetolewa kwa wakaazi wa kaunti ya Marsabit kukumbatia mfumo wa kilimo Kinachohimili Mabadiliko ya Tabianchi (climate smart) ili kuboresha ukuzaji wa mimea na kuongeza mavuno jimboni. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya simu, Mkurugenzi katika idara ya Kilimo Patrick Gitu amesema kuwa[Read More…]
Wazazi wa msichana moja mwenye umri wa miaka 16 wamehukumiwa kufungo cha miaka mitatu gerezani kwa makosa manne yanayofungamana na kumwoza msichana huyo katika kaunti ya Marsabit. Inaarifiwa kuwa kati ya tarehe 30 mwezi Agosti na tarehe 3 mwezi Septemba mwaka 2023 katika kijiji cha Lokileleng’i kaunti ya Marsabit watuhumiwa[Read More…]