Local Bulletins

regional updates and news

Wafanyibiashara mjini Marsait, walalamikia hatua ya maafisa wa idara ya kuzoa taka kujikokota kuondoa taka mjini.

By Mark Dida, Wafanyabiashara mjini Marsait, wamelalamikia kile wanachosema ni hatua ya maafisa wa idara ya kuzoa taka katika kaunti ya Marsabit, kujikokota kuondoa taka mjini humu. Wamesema kuwa taka hizo ambazo zimerundikana katikati ya mji, zinatoa uvundo kiasi cha kuyumbisha biashara zao. Wanataka taka hizo kuondolewa haraka iwezekanavyo, wakisema[Read More…]

Read More

Madaktari Waitaka Serikali Kuilipa Gharama Ya  Matibabu Ya Daktari Stephen Mogusu Alieaga Dunia Hiyo Jana  Kwa Ajili Ya Korona. 

By Waihenya Isaac, Mwenyekiti Wa Muungano Wa  Madaktari Nchini  KMPDU Dr. Samuel Oroko Ametaka Serekali Kuchukulia Kwa Maanani Wahudumu Wa Afya Nchini Ili Kuwaepusha Na Hatari Inayowakondolea Macho Ya Maambukizi Ya Korona. Akizungumza Jijini Nairobii Oroko Ametaja Kuwa Ni Jambo La Kughadhabisha Mno Kuona Kuwa Serekali Bado Inaendeleza Ajenda Ya[Read More…]

Read More

Naibu Wa Rais Dkt William Ruto Awakashifu Wanasiasa Kwa Kuweka Maslahi Yao Mbele Wakti Huu Wahudumu Wa Afya Wanapogoma.

By Samuel Kosgei, Naibu Wa Rais Dkt William Ruto Amejitokeza Na Kukashifu Vikali Wanasiasa Anaosema Kuwa Wanaweka Maslahi Yao Mbele Haswa Wakti Huu Wahudumu Wa Afya Wanapogoma. Akizungumza Katika Kaunti Ya Kericho Alipohudhuria Mazishi Ya Luteni Mstaafu John Koech, Ruto Anasema Kuwa Taifa Lipo Kwenye Janga Kuu La Kimataifa Na Hivyo Kusema[Read More…]

Read More

Wauguzi Na Matabibu Katika Hospitali Za Umma Kaunti Ya Marsabit Wametangaza Kuwa Wataendelea Na Kazi.

Picha; Hisani By Mark Dida. Huku Mgomo Wa Wauguzi Na Matabibu Ukiendelea Kote Nchini, Wauguzi Na Matabibu Katika Hospitali Za Umma Kaunti Ya Marsabit Wametangaza Kuwa Wataendelea Na Kazi. Katika Hospitali Ya Rufaa Ya Marsabit, Wauguzi Na Matabibu Wanaendelea Kuwahudumia Wagonjwa, Huku Afisa Mkuu Mtendaji Wa Hospitali Ya Marsabit Liban[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter