Wakaazi wa Karare, wanufaika na msaada wa chakula na vifaa vingine vya matumizi kutoka kwa katibu Kello Harsama.
January 9, 2025
regional updates and news
Na Wahenya Isaac, Tume ya uiano na Utengamano nchini NCIC itaendelea kuwaweka wanasiasa wanaoeneza semi za chuki katika orodha ya Aibu marufu kama “List of Shame”. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa tume hiyo Samuel Kobia ni kuwa idadi kubwa ya wanasiasa hawapendi kuwekwa kwenye orodha hiyo kwani huenda ikatia doa[Read More…]
Picha:Hisani Na Samuel Kosgei, Mwakilishi wadi wa Korr/Ngurnit Daud Tomasot amedai kuwa ahadi ya gavana wa Marsabit kulipia baadhi ya watu maskini bima ya afya kupitia bima ya NHIF huenda isitimie kutokana na deni la Zaidi ya shilingi milioni 36 ambalo serikali ya kaunti inadaiwa na hazina ya kitaifa afya[Read More…]
Rais Joe Biden ameahidi Kenya kwamba Marekani itatoa msaada wa mara moja wa dozi zaidi ya milioni 17 za chanjo ya Johnson & Johnson kwa Umoja wa Afrika. Biden alitangaza hayo wakati wa mkutano na rais Uhuru Kenyatta kwenye afisi yake ya Ikulu mjini Washington DC, ambao pia ulijadili[Read More…]
The prime suspect in the gruesome murder of 25-year-old world 5,000m record holder Agnes Tirop, has been arrested. Ibrahim Rotich, who was in a relationship with the athlete was arrested on Thursday night in Changamwe, Mombasa county, as he tried to flee to a neighboring country to evade justice.[Read More…]
Na Adano Sharawe, Mbunge wa North Horr Chachu Ganya ametoa mwito kwa serikali kuu kuzidisha mpango wa kusambaza chakula cha msaada kwa wenyeji wa maeneo yanayokumbwa na ukame. Akiunga mkono muswada kuhusu ukame bungeni, Ganya ametaja kuwa idadi ya wananchi wanaozidi kuadhirika inazidi kuongezeka kila kuchao na kwamba serikali haina[Read More…]
Na Samuel Kosgei, Mwakilishi wadi wa Kargi/SouthHorr Asunta Galgidele ameshutumu vikali ofisi ya gavana wa Marsabit kwa madai ya kukosa kuwalipa wanakandarasi ambao ndio wanaotegemewa kumalizia miradi ya maendeleo katika maeneo wadi kote jimboni. Akizungumza na Radio jangwani Jumatano kwenye kitengo cha Taswira ya Mwanasiasa ambayo hukujia kila siku[Read More…]
By Waihenya & Qabale, Warsha ya siku tatu ya kutoa mafunzo ya kidini kwa walimu wa watoto wa kanisa katoliki PMC katika jimbo la Marsabit imengoa nanga rasmi hii leo. Warsha hiyo ambayo inaongozwa na mratibu wa maswala ya vijana katika kanisa katolika jimboni Marsabit Sister Agatha Katuma Mativo inapania[Read More…]
By Waihenya & Qabale, Pana haki ya kuwa na usawa wakti wa ugavi wa rasilimali za umma kwa watu katika kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa kamati ya bajeti katika kaunti ya Marsabit Daud Tomasop ambaye pia ni mwakilishi wadi ya Korr/Gurnet ni kuwa serekali ya kaunti haijakuwa[Read More…]
By Waihenya Isaac, Oparasheni ya kuhakikisha kuwa wanafunzi wote waliomaliza darasa la 8 wanajiunga na shule za upili imeingia siku yake ya tatu hii leo. Operesheni hiyo iliyoanzishwa siku ya jumatatu na waziri wa elimu Profesa George Magoha analenga kuhakikisha asilimia mia ya wanafunzi wanaojiunga na shule za sekondari. Hii[Read More…]
By Waihenya Isaac, Waziri wa usalama Daktari fred Matiangi ameleza kuwa serekali imeweka mikakati ya kuhakikisha usalama wakati wa uchaguzi mkuu ujao na pia hali shwari ya kuipokeza mammlaka serekali mpya. Akizungumza na waandishi wa habari, waziri Matiangi ameleza kuwa asasi za usalamua ziki imara kuhakikisha ya kwamba uslama umeimarishw[Read More…]