Mfumo wa kutatua kesi nje ya mahakama (AJS) wazinduliwa rasmi,Marsabit.
November 23, 2024
regional updates and news
By Isaac Waihenya , Serekali ina maafisa wa wafya wa kutosha walionauwezo wa kupeana chanjo ya Korona Nchini. Hayo ni kwa mujibu wa katibu wa utawala Katika wizara ya Afya daktari Mercy Mwangangi. Akizungumza mbele ya kamati ya Bunge Kuhusu afya, mwangangi ametaja kuwa wananchi hawafa kuhofia Kuhusu chanjo hiyo[Read More…]
By Jillo Dida Jillo, Tume ya kuwajiri waalimu Nchini TSC imekana madai kuwa imekuwa ikipanga hamisho za walimu kote nchini haswa katika ukanda wa kazkazini mwa nchi. Katika taarifa yake TSC imesema kuwa ripoti ya Arafa iliyotelewa ilikuwa ni ya kutoa mwelekeo mzuri kwa tume japo sio ya kuhamisha walimu.[Read More…]
By Waihenya Isaac, Serikali ya Kaunti ya Samburu huenda ilitumia shilingi milioni 147 kulipia bili za miradi gushi wakati wa kipindi cha matumizi ya pesa za serikali cha mwaka 2018 /2019. Kwa muijibu wa ripoti mpya kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa serikali Nancy Gathungu, kaunti hiyo inadaiwa kuwa ililipa fedha hizo[Read More…]
By KDF The Principal Secretary at the Ministry of Defence, Hon. Dr. Ibrahim Mohammed, has today launched the KDF vaccination exercise against COVID-19 pandemic at the Defence Forces Memorial Hospital in Nairobi. Speaking after receiving his vaccine jab, the PS said that those who would be vaccinated will[Read More…]
By Silivio Nangori, Hii leo ikiwa ni siku ya wanyama pori Duniani taifa linaadhimisha siku hiyo katika eneo la Shimoni kaunti ya Kwale. Naibu Mkurugenzi wa Shirika la kuwalinda wanyama pori Kaskazini mashariki mwa nchi Robert Obrein ametaja siku hii kuwa muhimu sana katika kuhamasisha wananchi kuhusiana na utunzaji wa[Read More…]
By Samuel Kosgei, Naibu katibu mkuu mpya wa chama cha Jubilee Joshua Kutuny amesema kuwa hawezi akachelea kuanzisha mswada wa kumtimua naibu wa rais William Ruto kutoka chama hicho tawala cha jubilee. Hata hivyo Kutuny ambaye ni mbunge wa Cherangany amesema licha ya kuwa hajapokea taarifa zozote za kutimuliwa kwa[Read More…]
By Waihenya Isaac, Rasimu ya Mswaada wa marekebisho ya Katiba ya mwaka 2020 BBI utawasilishwa bungeni hapo kesho. Spika wa bunge la kitaifa Justin Muturi aliagiza mswada huo uwasilishwe bungeni kwa Usomaji wake wa kwanza. Karani wa Bunge ameelekezwa kupata nakala za kutosha za Mswaada huo. Nakala hizo zinapaswa kuwa katika mfumo[Read More…]
By Guyo Godana. NA Guyo Godana Wakaazi wa eneo la Toricha katika wadi ya Maikona, wamelalamikia kusahaulika n ahata kutelekezwa na serikali ya kaunti ya Marsabit. Wenyeji hao wakiszungumza na Radio Jangwani wanasema kwamba zahanati ilijengwa katika eneo hilo miaka mitano iliyopita ila kufikia sasa hawajaona matunda yoyote ya zahanati[Read More…]
By Samuel Kosgei, Gavana wa Marsabit Mohammud Ali amekashifu vikali Idara ya usalama katika kaunti ya Marsabit kwa madai ya kuzembea kazini na kuchangia kudumu kwa machafuko na mauaji ya kila mara katika jimbo la Marsabit. Akizungumza katika hafla ya kuzindua kliniki ya saratani katika hospitali kuu ya Marsabit, Ali[Read More…]
By Waihenya Isaac Wakenya wametakiwa kutoingiza siasa swala la kukabiliana na ufisadi nchini na badala yake kupiga jeki zoezi hilo kwa kupiga ripoti wanaposhuhudia visa vyovyote vya ufisadi. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini EACC Eliud Wabukala ni kuwa vita dhidi ya ufisadi[Read More…]