Local Bulletins

regional updates and news

Mtu auawa Merile na majambazi usiku wa kuamkia Jumanne

Na Silvio Nangori Mtu mmoja ameaga dunia huku mwingine akinusurika na jeraha la risasi katika eneo la Merille kaunti hii ya Marsabit baada ya kuvamiwa na majambazi. Akidhibitisha kisa hicho kamanda wa kaunti ndogo ya Laisamis Wyclif Lang’at amesema kwamba majambazi hao walimvamia marehemu ambaye ni mfanyibiashara mwendo wa saa[Read More…]

Read More

Wenyeji wa Moyale waitaka serikali ya Kenya kufanya mazungumzo ya kibiashara na Ethiopia kulainisha hali

Na Winnie Adelaide Kule moyale Wafanyibiashara wameitaka serikali kushughulikia kwa haraka mzozo wa mpaka wa Kenya na Ethiopia ili kuwaruhusu kununua bidhaa bila vizingiti kwa kuvuka Ethiopia. Akizungumza na radio jangwani mwenyekiti wa Chama cha Wanabiashara na Viwanda mjini Moyale Mohammed Ali amesema kwamba serikali ya Kenya inafaa kuzungumza na[Read More…]

Read More

Northern Kenya party moves quickly with it’s members to Kenya Kwanza leaving Azimio la Umoja with minority in both houses

Pastoralists’ leaders have moved quite fast in search of greener pastures probably before the migration window closes As predicted by Radio Jangwani political pundits the United Democratic Movement (UDM) has migrated Kenya Kwanza from now the troubled Azimio La Umoja. UDM Party Leader and Mandera Senator-Elect Ali Roba, Deputy Party[Read More…]

Read More

Matokeo ya Uchaguzi eneobunge la North Horr

Mgombea wa kiti cha MCA wadi ya North Horr Tura Ruru Elema amekihifadhi kiti chake. Ruru ambaye amewania kwa tiketi ya chama cha KANU ameshinda kwa kupata kura 2978. Adano Salesa Galgallo wa Jubilee anamfuata Kwa kujizolea kura 2826. Isacko Budha wa UPIA amepata kura 588. Afisa wa kituo cha kujumuisha kura eneo[Read More…]

Read More

Viongozi wa kidini katika kaunti ya Marsabit wawataka wananchi kuwachagua viongozi wacha Mungu.

Na Samuel Kosgei. Kamishna wa kaunti ya Marsabit Paul Rotich ameihakikishia umma kuwa kura ya uchaguzi mkuu hapa Marsabit utafanyika kwa njia ya utulivu na Amani. Akizungumza katika uwanja wa Marsabit wakti wa maombi kwa ajili ya jimbo, Rotich alisema kuwa wao kama serikali wameimarisha usalama na maafisa wao watazidi[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter