Local Bulletins

regional updates and news

Wito watolewa kwa viongozi nchini kuasi siasa na badala yake kuangazia maswala yanayowaadhiri wananchi……

Na Isaac Waihenya, Wito umetolewa kwa viongozi nchini kuasi siasa na badala yake kuangazia maswala yanayowaadhiri wananchi. Kwa mujibu wa Sheikh Bashir Somo ni kuwa viongozi wamewatelekeza wananchi na badala yake kuanza kurindima siasa za mwaka wa 2027 kuliko kuangazia maendeleo. Akizungumza na meza ya habari ya Radio Jangwani, Sheikh[Read More…]

Read More

Serekali ya kaunti ya Marsabit yatakiwa kuangazia maswala yanayowaadhiri vijana ili kuwaepusha na mihadarati….

Na Isaac Waihenya, Serekali ya kaunti ya Marsabit imetakiwa kuangazia kikamilifu maswala yanayowaadhiri vijana hapa jimboni. Haya yamekariri na kiongozi wa vijana katika eneo bunge la Saku Abdiaziz Boru. Akizungumza na Shajara Ya Radio Jangwani kwa njia ya kipekee, Boru amepuzilia mbali ripoti kutoka kwa mratibu wa bajeti nchini, Magreat[Read More…]

Read More

Raia 9 wa Ethiopia wafikishwa mahakamani Marsabit kwa kosa la kuwa nchini Kenya kinyume na sheria.

Na Caroline Waforo Raia tisa wa Ethiopia wameshtakiwa katika mahakama ya Marsabit kwa kosa la kuwa nchini Kenya kinyume na sheria. Mahakama imearifiwa kuwa mnamo tarehe 15 mwezi huu wa Februari, katika mto Merille eneobunge la Laisamis kaunti ya Marsabit raia hao tisa wa Ethiopia walikamatwa wakiwa nchini bila stakabadhi hitajika. Tisa hao walifikishwa mahakamani leo tarehe[Read More…]

Read More

Wakaazi wa Marsabit wametakiwa kushinikiza ongezeko la fedha zinazoelekezwa katika maswala ya huduma za afya ya uzazi.

Na Isaac Waihenya, Wakaazi katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kushinikiza ongezeko katika fedha zinazoelekezwa katika maswala ya huduma za afya ya uzazi. Kwa mujibu wa mshirikishi wa maswala ya haki za afya ya uzazi SRHR katika shirika la Faith to Action, Rebecca Mayabi, ni kuwa bajeti inayoelekezwa katika maswala ya[Read More…]

Read More

Serikali ya kaunti ya Marsabit yaorodheshwa yaongoza katika kaunti zilizotumia asimilia 30 ya mgao wake kwenye miradi ya maendeleo, 2023/24.

Na Caroline Waforo, Serikali ya kaunti ya Marsabit imeorodheshwa katika nafasi ya kwanza kwenye orodha ya kaunti 9 zilizotumia angalau asimilia 30 ya mgao wake kwenye miradi ya maendeleo katika mwaka wa kifedha wa 2023/24. Hii ni katika ripoti aliyotolewa na hazina ya kitaifa. Marsabit imeongoza katika orodha hiyo baada[Read More…]

Read More

Wananchi wamtakia Raila kila la heri katika uchaguzi wa AUC huku wengine wakiendelea kuonesha kukosa Imani na ufaulu wake.

NA JOSEPH MUCHAI Wakaazi katika kaunti ya Marsabit wamemtakia aliyekuwa waziri mkuu humu nchini Raila Odinga kila la kheri kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa tume ya Afrika huku wengine wakipinga hatua hiyo na kupoteza imani kuwa Odinga atafaulu kutwaa nafasi hiyo. Wakiongea na Radio Jangwani baadhi yao wanahisi kuwa kufaulu[Read More…]

Read More

Valentines Day yasherehekewa kwa namna mbalimbali Marsabit.

Wakaazi katika kaunti ya Marsabit wamesherehekea siku ya wapendanao kwa njia mbalimbali. Wakiongea na kituo hiki mjini Marsabit baadhi ya wakaazi wamesema kuwa siku hii ni spesheli sana tuu kwa wapenzi lakini pia kwa watu muhimu katika jamii. Hata hivyo wengi wao wanasema kuwa hali ya uchumi imesababisha wengi kutoisherehekea[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter