Local Bulletins

regional updates and news

WANAWAKE MARSABIT WAFANYA MATEMBEZI MJINI KUASHIRIA KUKAMILIKA KWA SIKU 16 ZA UANAHARAKATI

Huku siku 16 za uanaharakati kupinga vita vya dhulma za kijinsia haswa dhidi ya wanawake ikikamilika hii leo wanawake na wasichana kaunti ya Marsabit wamejitokeza kukashifu  wanawake kunyanyaswa na wanaume. Wakizungumza na Shajara ya Radio Jangwani wakati wa matembezi mjini Marsabit, wanawake hao wamesema kuwa wanawake wengi wanapoteza maisha yao[Read More…]

Read More

WATU WANAOISHI NA ULEMAVU,MARSABIT WAMELALAMIKIA KUDHULUMIWA KIJINSIA.

Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya haki za binadamu duniani watu wanaoishi na ulemavu katika kaunti ya Marsabit wamelalama kuwa bado wanazidi kudhulumiwa kijinsia huku vingi vya visa hivyo vikikosa kuripotiwa. Wakizungumza na Shajara ya Radio Jangwani wakiongozwa na Halima Osman, watu hao wanaoishi na ulemavu wametaja kwamba ipo hoja ya[Read More…]

Read More

WAKAAZI JIMBONI MARSABIT WATAKIWA KURIPOTI VISA VYOVYOTE VYA UHALIFU MSIMU HUU WA SHEREHE ZA KRISMASI NA MWAKA MPYA.

Wakaazi jimboni Marsabit wametakiwa kuripoti visa vyovyote vya uhalifu msimu huu wa sherehe za krismasi na mwaka mpya. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipekee OCPD wa Marsabit ya kati Edward Ndirangu amewataka wananchi kutoa taarifa zozote muhimu akisema kuwa hilo litasaidia katika kukabiliana na utovu wa usalama na[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter