Local Bulletins

regional updates and news

CHAMA CHA WALIMU (KNUT) MARSABIT YAPATA MWENYEKITI MPYA.

Chama cha kutetea maslahi ya walimu (KNUT) tawi la Marsabit kimechagua mwalimu Kula Lula Omar kuwa mwenyekiti wake mpya kwenye uchaguzi mdogo ulifanyika mjini Marsabit siku ya Jumamosi. Kula sasa anajaza nafasi hiyo iliyoachwa wazi na mumewe aliyeaga dunia mwanzoni mwa mwaka Huu. Nafasi hiyo ilikuwa imevutia wagombeaji wawili ambao ni Kula[Read More…]

Read More

Wakaazi wa Marsabit wametoa hisia zao kuhusiana na mapendekezo ya kupunguza muhula wa kutawala kutoka miaka mitano hadi miaka minne.

Wakaazi wa kaunti ya Marsabit wametoa hisia zao kuhusiana na mapendekezo ya Senata wa kaunti ya Kiambu Karungo Thungwa ya kutaka muhula wa kutawala kupunguzwa kutoka miaka mitano hadi miaka minne. Baadhi ya waliozungumza na Shajara ya radio jangwani, wamesema kuwa wanaunga mkono mswaada huo wa kupunguza muda wa kuhudumu kwa viongozi[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter