Viongozi wa kidini wakemea kisa cha mauaji ya mapacha Dukana, Marsabit
January 24, 2025
regional updates and news
Huku mtihani wa kitaifa ya KCSE ukiingia wiki yake ya pili hii leo,mkurugenzi wa elimu kaunti ya Marsabit Peter Magiri amesema kwamba zoezi hilo limekuwa likiendelea vyama kama ilivyoratibiwa. Akizungmza na Shajara ya Radio Jangwani afisini mwake, Magiri amesema kuwa licha ya mvua chache ambazo zimeshuhudiwa katika maeneo kadhaa hapa[Read More…]
Polisi katika kaunti ya Isiolo wamefanikiwa kunasa zaidi ya kilo 200 za bangi katika eneo la Kambi Samaki kaunti ndogo ya Garbatulla. Akidhibitisha kisa hicho Kamanda wa polisi kaunti ya Isiolo Moses Mutisya amesema bhangi hiyo yenye thamani ya shilingi milioni 6 ilikuwa ikisafirishwa kuelekea Garissa. Washukiwa walifanikiwa kutoroka. Kamanda[Read More…]
Serikali ya kaunti ya Marsabit imesema kuwa itaendeleza zoezi la kuhesabu wafanyakazi wote wa kaunti kabla yam waka kukamilika ili kuendamana na malengo ya serikali sawa na kuimarisha huduma. Naibu katibu wa kaunti na pia naibu mkuu wa wafanyakazi Doti Tari amesema kuwa lengo kuu la zoezi hilo ni kuimarisha[Read More…]
Washukiwa wawili wa wizi wa kimabavu wamekamatwa mjini Marsabit. Wawili hao Boru Wako almaarufu Wako Abakula na Abdirahman Hussein almaarufu Churuka walikamatwa mwishoni mwa wiki kwa kuhusishwa na visa mbalimbali vya wizi wa kimabavu mjini Marsabit na viunga vyake. Akithibitisha hili OCPD wa Marsabit Central Edward Ndirangu amesema kuwa wawili hao ni kati ya[Read More…]
Wakaazi wa eneo la Funan Qumbi, lokesheni ya Rawana, kaunti ndogo ya Sololo eneo bunge ya Moyale kaunti ya Marsabit wamelalamikia hatua ya serekali ya kaunti ya Marsabit kutowafikishia tanki 14 za maji ambazo zilikuwa zimeratibiwa kupelekwa katika eneo hilo. Wakiwakilishwa na Galm Sora ambaye ni mwenyekiti wa vijana katika[Read More…]
Mila potovu imetajwa kama sababu kuu ya visa vya ukeketaji kuendelea kuongezeka katika kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa mwanaharakati wa kutetea haki za binandamu kutoka eneo la Log Logo Eunice Basele, aliyeongea na meza ya habari ya Radio Jangwani kwa njia ya kipekee, ni kuwa bado jamii imeshikilia mila[Read More…]
Wakaazi katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kujikinga na baridi ili kujiepusha na magonjwa yanayosababishwa na baridi. Haya ni Kwa mujibu wa Bonsa Doti ambaye ni muuguzi wa afya katika hospitali ya rufaa ya Marsabit. Akizungumza na shajara ya Radio Jangwani afisini mwake, Doti amesema kuwa ni muhimu kujizuia baridi kwa[Read More…]
Visa vya utapiamlo vimeongeka hadi asilimia 15.2 kutoka 13.5 katika kaunti hii ya Marsabit. Ongezeko hili likiwa ni kutoka mwezi wa Julai hadi mwezi septemba mwaka huu kulingana na deta za mamlaka ya kukabiliana na ukame NDMA. Kulingana na afisa mkuu wa lishe bora katika kaunti ya Marsabit David Buke,[Read More…]
Wahamiaji haramu 23 raia wa Eritrea wamefikishwa katika mahakama ya Marsabit kwa mashtaka ya kupatikana nchini bila shtakabadhi za kuwaruhusu kuwa nchini. Wahamiaji hao walikamatwa na maafisa wa polisi katika eneo la manyatta Karatasi eneo bunge la Saku Kaunti hii ya Marsabit. Miongoni mwa wahamiaji hao ni wanaumme 19 na[Read More…]
GAVANA wa kaunti ya Marsabit Mohamud Ali amemtaka rais William Ruto kumaliza kero la ukosefu wa maji katika kaunti za ukanda huu wa kaskazini. Gavana Ali akizungumza katika eneo la Archers Post kaunti ya Samburu leo Ijumaa amemtaka rais kuhakikisha kuwa mabwawa ya maji yaliyochimbwa au yanayochimbwa yakamilishwe kwa haraka[Read More…]