Idara ya jinsia kaunti ya Marsabit yalaani kisa cha mauaji ya watoto wawili mapacha katika eneo la Dololo,North Horr.
January 23, 2025
regional updates and news
NA ISAAC WAIHENYA Idara ya jinsia kaunti ya Marsabit imelaani kisa cha mauaji ya watoto wawili mapacha waliouwawa katika eneo la Dololo kaunti ndogo ya North Horr. Kwa mujibu wa afisa mkuu katika idara ya jinsia Anna Marie Denge ni kuwa ni jambo la kuhuzunisha kuona kwamba bado kuna jamii[Read More…]
NA CAROLINE WAFORO Idara ya misitu katika kaunti ya Marsabit sasa inasema kuwa imeweka mikakati ya kuhakikisha kuwa moto unaoshuhudiwa katika kaunti jirani ya Isiolo hauenei hadi katika jimbo hili la Marsabit. Akizungumza na shajara ya radio jangwani afisini mwake mhifadhi wa msitu wa Marsabit Mark Lenguro amesema kuwa idara[Read More…]
Na Samuel Kosgei Marehemu Padre Francisco Terragni ametajwa kama mtu mkarimu aliyependa kusaidia maskini na wasiojiweza kwa namna moja ama nyingine katika jamii. Padre mkuu wa parokia ya Dirib Gombo Fr George Guyo amesema kuwa marehemu Frank aliishi maisha ya chini na ya unyenyekevu bila kubagua hali ya mtu yeyote.[Read More…]
Jimbo katoliki la Marsabit linasikitika kutangaza kifo cha Padre Francisco (Frank) Terragni kilichotokea tarehe 17 Januari 2025 katika Hospitali ya Huruma kule Nanyuki Akidhibitisha taarifa hiyo Askofu wa Jimbo Katoliki la Marsabit Mhashamu Baba Askofu Peter Kihara amesema kwamba mwili wa marehemu utawasili na kupokelewa Marsabit hii leo tarehe 22 Januari[Read More…]
Shirikisho la soka nchini FKF tawi la Marsabit linaweka mikakati kambambe ya kuhakikisha kwamba maswala ya michezo yanaendelezwa kiutalamu na kwa mipangilio inayofaa. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa FKF tawi la Marsabit Godana Roba ni kuwa wanapanga kukutana kama washikadau mbalimbali katika sekta hiyo ili kulaini mambo pamoja na utendakazi[Read More…]
Huku serekali ya Kenya kupitia idara ya afya ikiripoti kupungua kwa dawa za kupunguza makali ya virusi vya HIV, ARVs, wanaharakati wa kutetea haki za watu wanoishi na ugonjwa wa ukimwi wameiomba serekali kuweza kubuni mbinu mbadala ya kuhakikisha kuwa upungufu huu hautaadhiri upatikanaji wa ARVs. Wa hivi punde ni[Read More…]
Na Waandishi Wetu. Mwanamke mmoja na wazazi wa mume wake wamekamatwa na maafisa maafisa wa polisi katika eneo la Dololo Boji kaunti ndogo ya Dukana kaunti ya Marsabit baada ya kudaiwa kushirikiana kuwaua watoto mapacha waliozaliwa siku ya Jumapili. Kamishna msaidizi wa divesheni ya Dukana Nazarene Njuki amedai kuwa watoto[Read More…]
Na JB Nateleng “Matamshi ya rais mstaafu uhuru Kenyatta, kuhusu kupigania haki yanatia motisha wakenya na kuwapa nguvu ya kuendelea mbele” Hii ni kauli yake Harrison Mugo ambaye ni mwekahazina wa chama cha kisiasa cha National Vision Party (NVP). Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipekee Mugo amesema kuwa[Read More…]
Sasa ni afueni kwa wanafunzi 132 wa shule ya upili ya Goro Rukesa katika eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit baada ya baraza la mitihani nchini KNEC kuachilia matokeo ya mitihani yao ambayo yalikuwa yameshikiliwa. Wakati wa kutangazwa matokeo ya KCSE 2024 juma moja lililopita, ni watahiniwa saba pekee[Read More…]
Na Samuel Kosgei MSEMAJI wa serikali ya Marsabit Abdub Barille amewataka wazazi wa wanafunzi wanaofadhiliwa na serikali ya kaunti kutokuwa na hofu kuhusu hatima ya ufadhili huo wa kaunti kutokana na magavana kote nchini kuonywa na mdhibiti wa bajeti dhidi ya kutenga pesa za kufadhili masomo kwa wanafunzi wasiojiweza katika[Read More…]