Local Bulletins

regional updates and news

Naibu gavana wa Isiolo James Lowassa aelezea hofu kuhusu chanjo ya mifugo inayolenga mifugo mwakani.

Naibu gavana wa Isiolo James Lowassa aelezea hofu kuhusu chanjo ya mifugo inayolenga mifugo mwakani. Huku mjadala kuhusu utata wa chanjo kwa mifugo ukiendelea humu nchini, naibu gavana wa kaunti ya Isiolo James Lowassa ameelezea wasiwasi wake kuhusu chanjo hiyo akidai kuwa jamii ya wafugaji haijahamasishwa vyema wala kuhusishwa. Lowassa[Read More…]

Read More

Wakaazi wa Marsabit watoa hisia kinzani kuhusiana na utafiti uliomuorodhesha gavana Mohamed Ali kati ya magavana 10 ambao hawajafanya maendeleo.

Wakaazi wa Marsabit watoa hisia kinzani kuhusiana na utafiti uliomuorodhesha gavana Mohamed Ali kati ya magavana 10 ambao hawajafanya maendeleo. Baadhi ya wakaazi katika kaunti ya Marsabit wameutaja utafiti wa hivi maajuzi uliomuorodhesha gavana wa kaunti ya Marsabit Mohamed Muhamud Ali katika orodha ya magavana kumi ambao hawajafanya maendeleo hapa[Read More…]

Read More

Serikali kuu imewahakikishia waliofurushwa makwao Marsabit wanapokea msaada na mahitaji ya msingi.

Serikali kuu inafanya kila jitihadi kuhakikisha kuwa wakimbizi wa ndani kwa ndani kaunti ya Marsabit wanapata msaada wa chakula na mahitaji ya msingi. Akizungumza katika hafla ya kuwapokeza familia 50 mabati 30 na kanisa la kianglikana, Naibu Kamishena wa Marsabit Central David Saruni amesema kuwa wakimbizi hapa Marsabit wanapitia changamoto[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter