Author: Editor

Marsabit,yaadhimisha siku ya kupambana na ukeketaji, huku mikakati ya kuwahusisha wazee kukomesha mila hii ikiwekwa….

NA ISAAC WAIHENYA Ili tupunguze ndoa za mapema katika kaunti ya lazima kwanza tukabiliane na mila potovu ya ukeketaji. Haya yamekaririwa na afisa mkuu katika idara ya jinsia kaunti ya Marsabit Anna Maria Denge. Akizungumza wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya kupambana na ukeketaji nchini yaliyoandaliwa hapa mjini[Read More…]

Read More

Mama ya mapacha waliouwawa katika eneo la Dololo Boji ahamishwa hadi katika kituo salama baada ya kubainika kuwa hajafikisha umri wa miaka 18.

NA JAMES MUCHAI Mamake watoto mapacha walioripotiwa kuuawa katika manyatta ya Iliman Boru eneo la Dololo Boji katika kaunti ndogo ya North Horr anaendelea kuhifadhiwa katika makao salama ya Charity Sister Marsabit baada ya uchunguzi wa umri kudhibitisha kuwa hajafikisha umri wa miaka 18. Kulingana na ripoti ya uchunguzi wa kimatibabu iliyowasilishwa mahakamani mnamo[Read More…]

Read More

Serekali kuu yaahidi kuwafidia wafugaji wa Marsabit, walipoteza mifugo kufuatia kiangazi kilichoshuhudiwa kati ya mwaka 2021 na 2023…

.“Sio lazima mradi upitie kwa wanasiasa ndio uwafaidishe wananchi”haya ni kwa mujibu wa kamishna wa kaunti ya Marsabit James Kamau Akizungumza hii leo wakati wa kikao cha kamati ya kutamidhimi majanga katika kaunti ya Marsabit (CSG) Kamau amesema kuwa kumekuweko na kasumba ya wanasiasa kuingilia miradi ambayo inanuia kusaidia jamii[Read More…]

Read More

Vijana wa Saku wamelalamikia serekali ya kaunti ya Marsabit kutoidhinisha maswala waliyoibua wakati wa vikao vya kushirikisha umaa kwenye marekebisho ya bajeti…

Na JB Nateleng, Vijana katika eneo la Saku wamelalamikia kutengwa na serekali ya kaunti kwa kukosa kuyaidhinisha maswala waliyoibua wakati wa vikao vya kushirikisha umaa (Public Participation) kwenye marekebisho ya bajeti ambayo yanadhamiria kufanyika wiki mbili zijazo. Wakiongozwa na mwenyekiti wa muungano wa manahodha wa mpira wa miguu eneo bunge[Read More…]

Read More

Viongozi Marsabit wakosoa hatua ya serekali kuvunjilia mbali shirika la NACONNET….

NA CAROLILINE WAFORO Serikali imeendelea kukosolewa kwa kuvunjiliwa mbali shirika la National Council for Nomadic Education NACONNET na ambalo limekuwa la manufaa makubwa kwa wakaazi wa maeneo kame ikiwemo kaunti ya Marsabit haswa katika kuinua kiwango elimu. Wakizungumza na wanahabari leo Jumanne baadhi ya viongozi jimboni wamekosoa baraza la mawaziri kwa uamuzi[Read More…]

Read More

Idara ya maeneo kame na ustawi miji kwa ushirikiano na NDMA yawakabidhi wakaazi wa Dadach Lakole gari la kusambaza maji maarufu (Water Bowser) ….

Na Abdiaziz Yusuf, dara ya maeneo kame na ustawi miji kwa ushirikiano na mamlaka ya kupambana na majanga NDMA hii leo imekabidhi gari la kusambaza maji maarufu (water bowser) kwa wakaazi wa dadach lakole wadi ya Butiye katika juhudi za kupambana na kero la ukosefu wa maji katika eneo hilo.[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter