Author: Editor

Wakaazi kaunti ya Isiolo wafanya maandamano ya Amani kupinga mswada wa kifedha wa mwaka wa 2024.

NA CAROLINE WAFORO Wakaazi kaunti ya Isiolo wamefanya maandamano ya Amani kupinga mswada wa kifedha wa mwaka wa 2024. Wakaazi hao an ambao idadi kubwa ni vijana wamesema mswada huu unalenga kuwakadamiza wakenya ambayo tayari wanakabiliwa na mzigo mzito wa kiuchumi. Waandamanaji hao wamesema kuwa hawajaona manufaa ya ushuru ambao[Read More…]

Read More

Wakaazi wa Marsabit watakiwa kuwasilisha malalamishi yoyote kuhusu vitambulisho kwa ofisi ya usajili wa vitambulisho Jimboni, chifu au DCC.

Na caroline Waforo Wakaazi wa Kaunti ya Marsabit wametakiwa kuwasilisha malalamishi yoyote ya vitambulisho kwa ofisi ya usajili wa vitambulisho Jimboni, ofisi ya chifu au hata afisi ya mkuu wa wilaya yaani DCC. Ni wito ambao umetolewa na Michael Rapolo ambaye ni mkuu wa usajili wa watu jimboni Marsabit na[Read More…]

Read More

MASHINDANO YA MICHEZO YA MUHULA WA PILI YA SHULE ZA UPILI KITENGO CHA KAUNTI NDOGO YAMEANZA NA YANAENDELEA KATIKA ENEO BUNGE LA SAKU.

NA JOHN BOSCO NATELENG Mashindano ya michezo ya Muhula wa pili ya shule za upili kitengo cha kaunti ndogo yameanza na yanaendelea katika eneo bunge la Saku. Akizungumza katika uzinduzi wa mashindano hayo katika shule ya upili ya Moi Girls, Mkurugenzi wa elimu wa kaunti ndogo ya Saku Hussein Harubu amesema kuwa[Read More…]

Read More

VIJANA KATIKA KAUNTI YA MARSABIT WAMEHIMIZWA KUWAHESHIMU WAZAZI WAO ILI KUPUNGUZA VISA VYA MIZOZO YA FAMILIA.

NA JB NATELENG Vijana katika kaunti ya Marsabit wamehimizwa kuwaheshimu wazazi wao ili kupunguza visa vya mizozo ya familia. Akizungumza na idhaa hii afisini mwake Padre Titus Makhoha ambaye ni Baba Paroko katika kanisa la cathedral hapa Marsabit amesikitishwa na ongezeko la visa vya vijana haswa wavulana kutoheshimu na kukosa[Read More…]

Read More

NA GRACE GUMATO Wakaazi wa Boru Haro eneo bunge la Saku kaunti hii ya Marsabit wamelalamikia barabara mbovu ambayo haijakarabatiwa kwa kipindi cha miaka minne iliyopita. Jarso Duba ambaye ni mzee wa kijiji katika eneo la Boru Haro amesema kuwa tangu mvua kunyesha mwezi uliopita barabara zimeharibika kiasi cha kwamba[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter