Author: Editor

MTU MMOJA AMETHIBITISHWA KUFARIKI DUNIA KATIKA MGODI WA HILLO ULIOKO ENEO LA DABEL ENEOBUNGE LA MOYALE.

NA CAROL WAFORO Mtu mmoja amethibitishwa kufariki dunia katika mgodi wa Hillo ulioko eneo la Dabel eneobunge la Moyale. Akithibitisha kisa hicho afisa wa upelelelezi kaunti ya Marsabit Luka Tumbo amedokeza kuwa maafisa wa polisi waliwafurusha wachimba migodi kutoka machimbo hayo mapema Jumanne asubuhi. Katika harakati hiyo watu 34 raia wa[Read More…]

Read More

WAZIRI WA FEDHA KAUNTI YA MARSABIT ADAN KANANO AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MWEZI MMOJA GEREZANI KWA KOSA LA KUDHARAU MAHAKAMA

Na Isaac Waihenya Waziri wa fedha katika serekali ya kaunti ya Marsabit Adan Kanano amehukumiwa kifungo cha mwezi mmoja gerezani kwa kukosa kumlipa mlalamshi Petro Namweni Lochich kima cha shilingi 7,181,835 kama alivyoamrishwa na mahakama mnamo tare 15 mwezi Oktoba mwaka wa 2019. Akitoa uamuzi huo hii leo katika MAHAKAMA[Read More…]

Read More

VIONGOZI WA KIDINI MARSABIT WAWATAKA WAZAZI KULEA WANAO KWA NJIA YA MAADILI

NA JOHN BOSCO NATELENG Mwenyekiti wa muungano wa viongozi wa Kiislamu kaunti ya Marsabit (MAMLEF) Sheikh Ibrahim Oshe amewataka wazazi katika kaunti ya Marsabit kuchukua majukumu ya kuhakikisha kuwa wamewalea wanawao katika mazingira mema ili kusaidia katika kukabiliana na matumizi ya mihadarati. Oshe amesema kuwa utepetevu wa ulezi ndio unachangia[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter