Afueni kwa wanafunzi 132 wa shule ya upili ya Goro Rukesa baada ya KNEC kuachilia matokeo ya mitihani yao….
January 21, 2025
Na Samuel Kosgei Chama cha kutetea maslahi ya walimu wa shule za upili na vyuo vya kadri (KUPPET) kimekariri haja ya serikali kuharakisha kutuma mgao wa pesa za kufadhili huduma za masomo. Katibu wa chama hicho cha KUPPET tawi la Marsabit Sarr Galgalo amesema kuwa walimu wakuu tayari wameanza kuwatuma[Read More…]
Idadi ya wanafunzi walioripoti shuleni wiki ya kwanza ya muhula wa kwanza wa mwaka wa 2025 katika kaunti ya Marsabit haridhishi kamwe. Haya ni kwa mujibu wa mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Marsabit Peter Magiri. Akizungumza na meza ya habari ya Radio Jangwani ofisini mwake, Magiri ametaja kwamba hadi[Read More…]
Wazazi wa wanafunzi 131 wa shule ya upili ya Goro Rukesa watakiwa kuwa na subira, uchunguzi unapoendelea. Wazazi wa wanafunzi 131 wa shule ya upili ya Goro Rukesa iliyoko eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit, ambao matokeo ya mitihani yao ya KCSE imeshikiliwa na baraza la mitihani nchini KNEC[Read More…]
WANAFUNZI 19 kati ya 20 kutoka shule ya upili ya Ngurnit iliyo eneobunge la Laisamis watajiunga na vyuo vikuu kutokana na wao kujizolea alama ya C+ kwenda juu. Kulingana na matokeo ya shule hiyo ni kuwa wanafunzi 8 walipata alama ya B (plain), sita walipata B-, watano wakipata C+ na[Read More…]
Wakaazi wa eneo la Karare,eneo bunge la Saku, kaunti ya Marsabit wamenufaika na msaada wa chakula na vifaa vingine vya matumizi kutoka kwa katibu wa maeneo kame na maendeleo ya mikoa nchini Kello Harsama. Msaada huo unajumuisha vyakula, blanketi pamoja na taulo za kutumiwa na wanawake na wasichana wakati wa[Read More…]
Viongozi wa vijana viungani mwa mji wa Laisamis kaunti ya Marsabit wameonya wazee walio na hulka ya kuuza ardhi ya familia ovyo ovyo kwa bei ya kutupa. Vijana hao kutoka eneo la Manyatta Secondary wakiongozwa na kiongozi wao Mwl. Lito Herkena ameambia shajara kuwa kuna baadhi ya wazee katika eneo[Read More…]
Wazazi katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kuhakikisha kwamba wanao wanaripoti shuleni kwa muhula wa kwanza wa mwaka wa 2025. Kwa mijibu wa afisa wa watoto katika kaunti ya Marsabit Mukanzi Leakey ni kuwa ni haki ya kila mtoto kupata elimu huku akionya kuwa idara hiyo haitawasaza wazazi watakaokosa kuwapeleka wanao shuleni[Read More…]
All You Need to Know About Atarax Atarax, also known by its generic name Hydroxyzine, is a medication commonly used for its antihistamine properties. Its primary role is to treat symptoms related to allergies, anxiety, and tension. This guide aims to provide comprehensive information about Atarax, including its uses, dosage,[Read More…]
Idara ya utabiri wa hali ya hewa hapa Marsabit imesema kuwa hali ya kiangazi itazidi kushuhudiwa mwezi huu Mkurugenzi wa utabiri wa hali ya hewa kaunti ya Marsabit Abdi Dokata amesema kuwa kiangazi itaendelea kwa sasa hadi wakati utabiri utakapobadilika. Ameshauri wananchi wa Marsabit kuepuka kutembea kwenye jua na kunywa maji mengi msimu huu[Read More…]
Mwenyekiti wa bodi ya shule ya msingi ya Bakaka iliyoko eneo la Hurii hills eneo bunge la North horr Ibrae Sharamo amelalamikia kile amekitaja kwamba ni ukosefu wa madarasa ya gredi ya tisa. Akizungumza na Radio Jangwani kwa njia ya kipekee Sharamo ametaja kwamba hadi kufikia sasa wanafunzi 17 wa[Read More…]