Raia 9 wa Eritrea na wawili Ethiopia wapigwa faini ya Sh50,000 au kifungo cha miezi 2 kwa kosa la kuwa nchini Kenya kinyume na sheria.
February 24, 2025
Na Carol Waforo Visa vya ulawiti (sodomy) vimeongezeka pakubwa katika eneo bunge la Moyale kaunti ya Marsabit. Haya ni huku taifa likiendeela kuadhimisha mwezi wa huduma kwa watoto katika mwezi huu wa Novemba. Kulingana na afisa wa watoto katika shirika la Strategies for Northern Development SND Joan Chebet aliyezungumza na shajara[Read More…]
NA SAMUEL KOSGEI Jamii zinazoishi kaunti ndgo ya Moyale na Marsabit kwa ujumla zimetakiwa kuendelea kuishi kwa njia ya Amani na ushirikiano ili kufanikisha maendeleo na uwiano. Kauli hiyo imetolewa na Mohamednur Korme ambaye ni mwenyekiti wa muungano wa Amani Moyale na pia katibu wa muungano ya Amani ng’ambo ya[Read More…]
Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya choo duniani, wito umetolewa kwa wakaazi wa kaunti ya Marasabit kuhakikisha kwamba kila boma iko na choo. Kwa mujibu wa afisa mkuu katika idara ya afya kaunti ya Marsabit Omar Boko, ni kuwa uwepo wa vyoo katika kila boma utahakikisha kwamba jimbo la Marsabit limedumisha[Read More…]
Jamii ya Marsabit imetakiwa kujitokeza kupimwa ugonjwa wa Meningitis ili kuhakikisha kwamba wanapata matibabu mapema. Kwa mujibu wa daktari Stive Sereti anayeshughulikia wagonjwa wanaougua maradhi hayo katika hospitali ya rufaa ya Marsabit ni kuwa ni vyema kufanyiwa vipimo vya mara kwa mara vya ugonjwa huo kwani unaadhiri hadi watoto. Akizungumza na[Read More…]
Wafanyikazi wa kujitolea katika eneo bunge la Saku wametishia kususia kuwasilisha ripoti za kazi wanazofanya vijijini hadi pale watakapolipwa mishahara yao. Kwa mujibu wa kiongozi wa wafanyikazi hao kutoka hapa mjini Marsabit Rashid Abdi ni kuwa watatumia hilo kama njia ya kushikiza serekali ya kaunti ya Marsabit kushughulikia maswala ambayo[Read More…]
Zaidi ya watu 50 wamenufaika na vifaa kutoka kwa shirika la The National Fund for the Disabled of Kenya (NFDK) katika kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa mwanachama wa bodi ya shirika hilo Profesa Julia Ojiambo ni kuwa watu hao ni kutoka kaunti ndogo tatu za jimbo la Marsabit ambazo ni Laisamis, Saku na Moyale.[Read More…]
Mwenyekiti wa shirikisho la mpira wa miguu tawi la Marsabit Mohamed Nane ameweka wazi kuwa amesusia uchanguzi wa leo kutokana na mpinzani wake kuwashawishi wapiga kura kwa misingi ya kikabila. Nane ambaye hakuwasili katika ukumbi wa uchanguzi wala kutuma ajenti wake ametaja kwamba mpizani wa Godana Roba Adi amewashawishi wapiga[Read More…]
Huku ulimwengu ukisherekea siku ya Ugonjwa wa Sukari, ugonjwa huu umetajwa kama mmoja wa magonjwa yanayochangia kwa kiasi kikubwa ugonjwa wa figo. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipekee, muuguzi wa figo katika Hospitali ya Rufaa ya Marsabit, Abdinassir Mohamed Jillo, amesema kuwa ugonjwa wa figo umeenea kati ya[Read More…]
Vyombo vya habari kaunti ya kaunti ya Marsabit vinafaa kuwa makini na habari vyanavyopeperusha kwenye vituo vyao. Haya yamekaririwa na Kamishina wa kaunti ya Marsabit Paul Kamau. Akizungumza kwenye mkutano ya wanahabari na wakuu wa idara mbalimbali ya serikali hii leo, Kamau amesema kuwa kaunti ya Marsabit imejulikana na jina[Read More…]
Mashindano ya Muziki ya Watoto wa PMC yameanza rasmi leo katika Kanisa Katoliki la Marsabit. Akizungumza na idhaa hii, Andrew Abdub ambaye ni mwenyekiti wa parokia, amesema kuwa vigango vinne vitashiriki katika tamasha hilo. Alisisitiza kwamba lengo la mashindano ya leo ni kutafuta washiriki watakaowakilisha dayosisi ya Marsabit katika tamasha[Read More…]