Author: Editor

WAKAAZI JIMBONI MARSABIT WAHIMIZWA KUASI TAMADUNI ZILIZOPITWA NA WAKATI KAMA VILE WIZI WA MIFUGO.

Wakaazi jimboni Marsabit wamezidi kuhimizwa kuasi tamaduni zilizopitwa na wakati kama vile wizi wa mifugo. Akizungumza na idhaa hii mapema leo asubuhi kwenye kipindi cha Amkia Jangwani, DCC wa Marsabit Central David Saruni amewataka wakaazi wanaoshirikiana na wahalifu haswa wanaotoka katika kaunti jirani kukoma. Ijumaa wiki jana watu waliokuwa wamejihami[Read More…]

Read More

.WITO UMETOLEWA KWA JAMII YA MARSABIT KUTOWAFICHA WATOTO WALIONA ULEMAVU NA BADALA YAKE KUHAKIKISHA KWAMBA WANAPATA HAKI ZAO ZA KIMSINGI.

Wito umetolewa kwa jamii ya Marsabit kutowaficha watoto waliona ulemavu na badala yake kuhakikisha kwamba wanapata haki zao za kimsingi. Kwa mujibu wa meneja wa kituo cha huduma Center mjini Marsabit Geoffrey Ochieng ni kuwa watoto waliona ulemavu wanafaa kupewa haki sawa za masomo na za kimaisha kama wenzao wasio[Read More…]

Read More

WITO WATOLEWA KWA WAZAZI KUWAPELEKA WANAWAO HOSPITALINI IWAPO WATARIPOTI VISA VYOVYOTE VYA KUUMWA NA MACHO.

Wito umetolewa kwa wazazi kuwapeleka wanawao hospitalini iwapo wataripoti visa vyovyote vya kuumwa na macho. Haya yamekaririwa na mtaalam wa macho katika kliniki ya Macho, katika hospitali ya rufaa ya Marsabit Amina Duba. Akizungumza na idhaa hii afisini mwake, Amina amesema kuwa kuna magonjwa ya macho ambayo yanaweza yakatibika iwapo[Read More…]

Read More

HUKU ULIMWENGU UKIADHIMISHA MWEZI WA KUTOA HAMASA KUHUSIANA NA SARATANI YA MATITI DUNIANI, WITO UMETOLEWA KWA AKINAMAMA KUJITOKEZA KUFANYIWA UKAGUZI KUHUSIANA NA UGONJWA HU

 Huku ulimwengu ukiadhimisha mwezi wa kutoa hamasa kuhusiana na saratani ya matiti duniani wito umetolewa kwa akinamama kujitokeza kufanyiwa ukaguzi kuhusiana na ugonjwa huo. Kwa mujibu ya muunguzi kwenye kituo cha saratani katika hospitali ya rufaa ya Marsabit, Joyce Mokuro asilimia 16.2 ya watu hapa nchini wameadhirika na ugonjwa huo. Akizungumza[Read More…]

Read More

HIFADHI YA MELAKO IMETAJA KWAMBA KAMWE HAIMUJUI JAMAA ALIYEUWAWA AKIWA AMEVALIA JAKETI YA ZAMANI YA HIFADHI HIYO MNAMO SIKU YA IJUMAA WIKI ILIYOPITA KATIKA ENEO LA BADASA ENEO BUNGE LA SAKU KAUNTI YA MARSABIT.

 Hifadhi ya Melako imetaja kwamba kamwe haimujui jamaa aliyeuwawa akiwa amevalia jaketi ya zamani ya hifadhi hiyo mnamo siku ya ijumaa wiki iliyopita katika eneo la Badasa eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit. Akizungumza na Radio Jangwani kwa njia simu Meneja wa hifadhi ya Melako Satim Eydimole ni kuwa[Read More…]

Read More

WAAKAZI WA MARSABIT WATOA HISIA ZAO KUHUSIANA NA MAPENDEKEZO YA BAADHI YA VIONGOZI WA KIDINI NCHINI KUTAKA MIRAA IPIGWE MARUFUKU.

Waakazi wa Marsabit wametoa hisia zao kuhusiana na mapendekezo ya baadhi ya viongozi wa kidini ya kupigwa marufuku utumiaji wa miraa hapa nchini. Baadhi ya waliozungumza na Shajara ya Radio Jangwani kwa njia kipekee wameitaja hatua ya kupiga marufuku zao hilo kama itakayo wakandamiza wanaotegemea biashara ya miraa kama kitega[Read More…]

Read More

SIKU MOJA BAADA YA NAIBU WA RAIS RIGATHI GACHAGUA KUMUOMBA MSAMAHA RAIS WILIAM RUTO KUHUSIANA NA IWAPO AMEKOSEA, WAKAAZI WA MARSABIT WAMETOA MAONI YAO KUHUSIANA NA HATUA HIYO.

Siku moja tu baada ya naibu wa Rais Rigathi Gachagua kumuomba msamaha Rais Wiliam Ruto kuhusiana na iwapo amekosea na kupelekea mswaada wa kutaka abanduliwe mamlakani kufikishwa bungeni, baadhi ya wakaazi wa Marsabit wametoa maoni yao kuhusiana na hatua hiyo. Baadhi ya waliozungumza na Shajara ya Radio Jangwani wametaja kuwa[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter