Levaquin: Comprehensive Guide on Usage, Benefits, and Safety
December 20, 2024
Idadi kubwa ya watahiniwa huria maarufu Private Candidates katika kaunti ya Marsabit kwenye mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne KCSE mwaka huu imechangiwa na matokea bora ya watahiwa huria 48 waliokalia mtihani huo mwaka jana. Kwa mujibu wa washikadau katika idara ya elimu kaunti ya Marsabit ni kuwa watahiniwa[Read More…]
Takriban vijana 1,500 jimboni Marsabit wanatarajiwa kunufaika na kazi mazingira mpango wa kushughulikia hali ya anga na ambao ulizinduliwa na rais William Ruto mwezi septemba. Mpango huu ni mojawepo ya mbinu ya kuunda nafasi za kazi kwa mamilioni ya vijana ambao hawajaajiriwa nchini na ambao ulichukua nafasi ya Kazi Mtaani[Read More…]
Baada ya waziri wa usalama wa ndani Profesa Kithure Kindiki kuteuliwa kama naibu wa rais mpya hii leo na Rais William Ruto, wakaazi wa kaunti ya Marsabit wametoa hisia zao kuhusiana na uamuzi huo. Baadhi ya waliozungumza na Shajara ya Radio Jangwani kwa njia ya kipekee, wamemtaja Kindiki kama mtu[Read More…]
BARAZA la mitihani ya kitaifa KNEC limetakiwa kusikiliza kilio cha walimu wanaosimamia mitihani na hata wanaosahihisha mitihani ambao kwa muda sasa wamekuwa wakiitaka serikali kuwaongezea marupurupu kwenye malipo yao. Katibu wa chama cha kutetea maslahi ya walimu KNUT tawi la Marsabit, Rosemary Talaso, ameitaka baraza hilo kusikiliza kilio cha walimu[Read More…]
Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya kumaliza umaskini duniani,serekali ya kaunti ya Marsabit pamoja na ile ya kitaifa zimetakiwa kuwapiga jeki vijana na wanawake haswa walio katika sekta ya kilimo ili kupunguza kiwango cha umaskini katika kaunti ya Marsabit. Kulingana na mkurugenzi wa shirika la maendeleo endelevu, Initiative for Progressive Change[Read More…]
Wazazi katika kaunti ya Marsabit wamehimizwa kujukumika zaidi na kuwatunza watoto wao dhidi ya maovu yanayoweza kujiri kipindi cha likizo. Kwa mjibu ya mwenyekiti wa chama cha wazazi katika kaunti ya Marsabit, Ali Nur ambaye amezungumza na idhaa hii kwa njia ya simu, amewataka wazazi kuhakikisha kwamba wanafuatilia mienendo ya[Read More…]
Mikakati yote ya kuhakikisha kwamba mitihani ya kitaifa ya gredi ya sita KPSEA na ule wa kidato cha nne KCSE inayotajariwa kuanza jumaanne wiki ijayo katika kaunti ya Marsabit imekamilika. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Marsabit Peter Magiri ni kuwa ni jumla ya watahiniwa 8,383 wa[Read More…]
NAIBU kamishna wa kaunti ndogo ya Laisamis Kepha Maribe amesema elimu pekee kwa jamii za Marsabit ndio suluhu mwafaka ya kumaliza kero la wizi wa mifugo ambao hushuhudiwa mara nyingi katika eneobunge hilo. Maribe akizungumza na shajara ya Radio Jangwani amesema kuwa serikali chini ya uongozi wake utahakikisha kuwa watoto[Read More…]
Wazazi katika kaunti ya Marsabit wahimizwa kuwajibika kwa kuchunga wanao katika kipindi cha likizo ndefu ya mwezi Disemba. Huku wanafunzi wakitarajiwa kuelekea likizo ndefu ya mwezi disemba, wazazi katika kaunti ya Marsabit wamehimizwa kuwajibika kwa kuchunga wanao kipindi hicho cha likizo. Ushauri huo umetolewa naye mkurugenzi mkuu wa shirika la[Read More…]
Zaidi ya asilimia 60 ya mashamba katika kaunti ya Marsabit yameandaliwa kwa ajili ya zoezi la upanzi. Kwa mujibu wa afisa wa kilimo katika kaunti ya Marsabit Dub Nura ni kuwa zoezi hilo limeafanikishwa na ushirikiano kati ya idara ya kilimo jimboni Marsabit na mashirika mengine yasiyokuwa yakiserekali hapa jimboni.[Read More…]