Mtu mmoja afariki kutokana na ugonjwa wa Kalazaar Marsabit, sita wakipokea matibabu kulingana na serikali ya kaunti.
February 21, 2025
Na Isaac Waihenya,
Klabu ya Chelsea inatarajiwa kufanya maamuzi magumu kuhusu kumpa kazi menaja wa zamani wa Tottenham Hotspur Mauricio Pochettino.
Pochettino amepigiwa upato kupata nafasi hiyo baada ya Makocha Luis Enrique na Julian Nagelsmann kujiondoa katika kinyanganyiro hicho.
Pochettino amewahi kuvinoa vilabu vingine kama vile Southampton na Paris Saint Germain ya Ufaransa.
The Blues wanatarajiwa kuweka wazi maamuzi yao kuhusiana na atakaye iridhi mikoba ya Graham Potters aliyefurushwa majuma machache yaliyopita katika siku zijazo.