Levaquin: Comprehensive Guide on Usage, Benefits, and Safety
December 20, 2024
By Waihenya Isaac.
Kocha Wa Klabu Ya Tottenham Hotspurs Jose Mourinho Ametaja Kuwa Yupo Tayari Kulinyakua Taji La EFL Maarufu Kama Carabao Cup Msimu Huu.
Mourinho Ameyataja Hayo Wakti Kikosi Chake Kinatarajiwa Kumenyana Na Brentford Hii Leo Usiku Katika Mechi Ya Nusu Faini Ya Kombe La Carabao.
Mechi Hiyo Itangaragaziwa Ugani Tottenham Hotspurs Stadium Kuanzia Saa Tano Kasorobo.
Spurs Inalenga Kunyakua Taji Lake La Kwanza Tangu Mwaka Wa 2008 Ilipobeba Taji Hili Zama Hizo Likijulikana Kama Carling Cup Baada Ya Kuilaza Chelsea Kwa Jumla Ya Magoli Mawili Kwa Moja Ugani Wembley.
Mshindi Wa Leo Atasubiri Mshindi Kati Ya Manchester United Na Manchester City Hapo Kesho Ili Kumenyana Naye Katika Fainali Za Kombe Hilo Zilizoratibiwa Kusakatwa Tarehe 14 Mwezi Machi Mwaka Huu Ugani Wembley.