Padre Francisco (Frank) Terragni kupumzishwa hiyo kesho Alhamisi….
January 22, 2025
By Waihenya Isaac,
Klabu Ya Watford Nchini Uingereza Imemsajili Kiungo Wa Kenya Henry Ochieng.
Kupitia Mtandao Wa Twitter Watford Imedhibitisha Kumsajili Mchezaji Huyo Atakayejiunga Na Kikosi Cha Wachezaji Wasiozidi Umri Wa Miaka 23.
http://https://twitter.com/WatfordFC/status/1353725259317436418?s=19
Ochieng mwenye umri wa miaka 22 amekuwa akisoma katika vyuo vikuu vya West Ham na Leyton Orient Nchini Uingereza na amechezea vilabu kama Braintree Town, Welwyn Garden City, Wingate & Finchley na Cork City ya Ligi kuu Nchini Ireland.
Aidha Ochieng Ametia saini mkataba wa miezi 6 huku akitajiwa kudumu na klabu hiyo hadi mwisho wa msimu huu.