Vijana wazidi kutiwa shime kupigania haki zao nchini.
January 21, 2025
By Waihenya Isaac,
Michuano Ya Kuwania Kombe La Klabu La Ligi Kuu Nchini Uigereza Inatarajiwa Kuendelea Wikendi Hii Huku Mechi Sita Zikirabiwa Kugaragazwa Hapo Kesho.
Mapema Saa Tisa Unusu Leicester City Itaikaribisha Manchester United Ugani King Power Stadium.
Aidha Saa Kumi Na Mbili Kamili Aston Villa Ugani Vila Park Itaikaribisha Crystal Palace Huku Southapton Ikisafiri Hadi Ugani Craven Cottage Kuchuana Na Kikosi Cha Scot Parker Fulham.
Saa Mbili Unusu Usiku Arsenali Ya Kocha Mikel Arteta Inatoana Kishasho Na Timu The Blues Chelsea Katika Debi Ya Jiji La London, Mechi Itakayoandaliwa Katika Uga Wa Emirates.
Itimiapo Saa Tano Usiku, Bingwa Wa Mwaka Wa 2018/2019 Manchester City Atakuwa Mwenyeji Wa Newcastle Huku Sheffield United Wanaovuta Mkia Katika Jendwali la EPL Wakichuana Na Everton Uwanjani Bramall Lane.
Mnamo Siku Ya Jumapili Mechi Nne Zitasakatwa, Huku Wageni Leeds United Wakiikaribisha Burnley Ugani Elland Road Kuanzia Saa Tisa Kasoro Dakika Tano Mchana.
Saa Kumu Na Moja Na Robo Vijana Wa David Moyes Watasakata Dimba Ugani Olimpic Stadium Dhidi Ya Brighton And Hove Huku Bingwa Mtetezi Liverpool Ikimkaribisha WestBromich Albion Ugani Anfield Saa Saa Moja Unusu Jioni.
Baada Ya Kupoteza Mechi Mbili Mfululizo, Tottenharm Hotspurs Itapambana Na Klabu Ya Wolves Katika Uga Wa Molineux Stadium Katika Shughuli Za Kusaka Alama Tatu Muhimu.