Vijana wazidi kutiwa shime kupigania haki zao nchini.
January 21, 2025
Picha; Hisani
By Waihenya Isaac
Klabu Ya Gor Mahia Itamenya Na Klabu Ya CR Belouizdad Ya Algeria Katika Awamu Ya Finali Ya Kufuzu Katika Awamu Ya Makundi Ya Michuano Ya Kuwania Kombe La Klabu Bingwa Barani Afrika CAF Champions League.
Gor Itasafiri Hadi Jijini Algiers Kumenyatana Na Vijana Wa Frank Dumas Mnamo Tarehe 22 Mwezi Huu Kabla Ya Mechi Ya Marejeleo Kugaragazwa Wiki Mbili Baadae.
Mechi Hiyo Ya Majereleo Itapigwa Tarehe 5 Mwezi Januari Mwaka Ujao Katika Uwanja Wa Nyayo Jijini Nairobi.
Picha; Hisani
Vijana Hao Wa Kocha Roberto Oliveira Goncalves Walifuzu Katika Awamu Hiyo Siku Ya Jumamosi Disemba 5 Mwaka Huu, Baada Ya Ushindi Wa Magoli 3-1 Dhidi Ya APR Ya Rwanda Na Katika Kipute Hicho Kwa Jumla Ya Mabao 4-3.
APR Walijibwaga Uwanjani Wakijivunia Ushindi Wa 2-1 Kutokana Na Mechi Ya Mkondo Wa Kwanza Iliyochezewa Jijini Kigali Mnamo Novemba 28, 2020.