MOHAMED NANE AMEWEKA WAZI SABABU YA KUSUSIA UCHANGUZI WA LEO.
November 14, 2024
NA CAROL WAFORO Mwanaume mmoja amefikishwa mahakamani kwa jaribio la kumbaka mtoto wa miaka 7. Inakisiwa kuwa mnamo tarehe 7 mwezi February 2024 katika mtaa wa Jaldesa wadi ya Marsabit central kaunti ya Marsabit mshukiwa kwa jina Guyo Kose Duba alitekeleza unyama huo. Mtuhumiwa alikamatwa tarehe 8 mwezi huo wa[Read More…]
Na JohnBosco Nateleng’ Wito umetolewa kwa serekali ya kaunti ya Marsabit kupitia idara ya uvuvi imetakiwa kuweka mikatati ambayo itakuwa ikilinda uchukuzi unaoendelea katika ziwa Turkana ili kuweza kupunguza ajali za mashua zinazoshuhudiwa katika ziwa hilo. Kwa mujibu wa aliyekuwa mwaniaji wa kiti cha MCA wadi wa Loiyangalani na ambaye[Read More…]
Na Talaso Huka Wakaazi wa Marsabit wanaoishi karibu na misitu wameshauri kukoma kulisha mifugo yao ndani ya msitu hadi wakati wa kiangazi. Akizungumza na Radio Jangwani Naibu msisamizi wa idara ya msitu Kadiro Oche amewataka wafugaji kuzidi kutumia nyasi zilizopo malishoni mwanzo kabla ya kuvamia misitu kwa ajili ya malisho.[Read More…]
Na Samuel Kosgei CHAMA cha walimu wa shule za upili na vyuo vya kadri nchini (KUPPET) kimeshikilia kuwa mgomo wa walimu bado upo na utaendelea licha ya uamuzi wa mahakama kuwa mgomo huo unafaa kusimamishwa hadi keshi iliyowasilishwa isikilizwe na kuamuliwa na mahakama hiyo. Katibu wa chama cha KUPPET kaunti[Read More…]
Na Caroline Waforo Serikali ya kaunti ya Marsabit ina wiki mbili kuanzia leo tarehe 27 mwezi Agosti, kushughulikia matakwa yaliyoibuliwa na madaktari wa kaunti ya Marsabit. Kwenye barua iliyotiwa sahihi na katibu wa KMPDU ukanda huu wa mashariki Dr Elvise Mwandiki madaktari watalazimika kushiriki mgomo iwapo maswala yao hayatasuluhishwa chini[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Shule 38 za upili katika kaunti ya Marsabit zimenenufaika na msaada kutoka kwa serekali ya kitaifa ambao unalenga kuwalipia karo watoto kutoka familia maskini. Kwa mujibu wa katibu wa kudumu katika idara ya maeneo kama na maendeleo ya mikoa Kello Harama ni kuwa shule 13 katika eneo[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Wazazi wametakiwa kuwapeleka watoto shuleni bila kuwabagua ili wapate elimu itakayowafaidi katika siku za usoni. Haya ni kwa mujibu wa msimamizi wa shirika la Compassion tawi la Marsabit mchungaji Joseph Diba. Akizungumza wakati wa sherehe za kuwatunuku wanafunzi waliofanya vyema katika mtihani wa kitaifa wa KCPE mwaka[Read More…]
Na Grace Gumato Hali ya wasiwasi inaendelea kushuhudia katika eneo la Qonye katika kata ndogo la Balesa Saru baada ya majambazi wasiojulika kuvamia eneo hilo usiku wa kuamkia leo na kujaribu kuiba ngamia. Akizungumza na shajara ya Jangwani Katana Charo ambaye ni naibu kamishna wa Dukana amesema wajambazi hao walikuwa[Read More…]
Na Samuel Kosgei Kaunti ya Marsabit imekuwa kaunti ya kwanza katika eneo pana la kaskazini kuzindua programu ya elimu ya dijitali kwa wanafunzi wa madarasa ya chekechea na walimu wao. Kaunti ya Marsabit imekuwa kaunti ya kwanza katika eneo pana la kaskazini kuzindua programu ya elimu ya dijitali kwa wanafunzi[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Wananchi katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kutunza amani ambayo imekuwa ikishuhudiwa kwa muda hapa jimboni. Kwa mujibu wa ACC wa eneo la Gadamoji Thomas Ngang’i ni kuwa ni jukumu la kila mwanchi kuhakikisha kwamba amani imesheheni hapa jimboni Marsabit. Akizungumza wakati wa mkao uliwaleta pamoja washikadau kutoka[Read More…]