MOHAMED NANE AMEWEKA WAZI SABABU YA KUSUSIA UCHANGUZI WA LEO.
November 14, 2024
Na Talaso Huka, Mafunzo kuhusiana na ngono za mapema kwa wanafunzi wa shule ya msingi na ya upili ni jambo ambalo serikali ingefaa kuliangazia katika mfumo upya ya elimu. Haya ni kwa mujibu wa mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya SKM Kame Koto. Akizungumza na Radio Jangwani afisi mwake[Read More…]
Na JB Nateleng, Utepetevu wa wazazi katika kuwalea wanao umetajwa kama sababu inayochangia katika kuongezeka kwa maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipekee Imam wa miskiti ya Jamia jimboni Marsabit Sheikh Mohamed Noor amesema kuwa, wazazi wengi wamelegeza majukumu yao ya kuwalea wanawao[Read More…]
Na JB Nateleng, Washikadau wa elimu wanafaa kuketi chini na wazazi pamoja na wakuu wa shule zote ili kuhakikisha kuwa wametoa suluhu la kudumu kuhusiana na kero la shule kuchomwa. Akizungumza na Shajara Ya Radio Jangwani ofisini mwake, mkurugenzi wa shirika la MWADO,Nuria Gollo ni kuwa wanafunzi wanachoma shule kusubuka[Read More…]
Na Caroline Waforo, Maafisa wa polisi pamoja kwa ushirikiano na machifu wanaendeleza msako wa pombe haramu pamoja na mihadarati mjini Marsabit. Operesheni hiyo iliyongo’a nanga alhamisi wiki jana inapania kuhakikisha kuwa utumizi wa pombe haramu pamoja na mihadarati unakomeshwa kikamilifu kulingana na kamanda wa polisi Leonard Kimaiyo. Aidha wamiliki wa vilabu[Read More…]
Na Caroline Waforo, Walimu wakuu humu jimboni Marsabit wametakiwa kuwa makini ili kuzia visa vya mikasa ya moto. Ni tahadhari ambayo imetolewa na kamishna wa kaunti ya Marsabit James Kamau ambaye amezungumza na meza ya Radio Jangwani afisini mwake. Kamishna Kamau anasema kuwa iwapo walimu wakuu watahakikisha kuwa wanakabiliana na[Read More…]
Na Caroline Waforo, Afisa moja wa akiba NPR katika wadi ya Loiyangalani eneo bunge la Laisamis kaunti ya Marsabit amekamatwa kwa kumiliki bunduki tatu kinyume cha sheria. Akithibitisha kisa hicho kamanda wa polisi kaunti ya Marsabit Leonard Kimaiyo amesema kuwa afisa huyo wa akiba kutoka kaunti ya Samburu alikamatwa katika[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Wanafunzi wa nyajani maarufu Interns wanaliofanya kazi katika idara mbalimbali za serikali ya kaunti ya Marsabit kati ya mwezi Septemba mwaka jana 2023 hadi Agosti mwaka huu wamelalamikia kutolipwa mishahara yao. Wakiongozwa na Ismail Hirsi wafanyikazi hao wametaja kwamba walilipwa mishahara ya miezi minee pekee licha kufanya[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Serekali ya kaunti ya Marsabit kupitia idara ya huduma za jamii inapania kuandaa mashindano ya riadha ya watu wanaoishi na ulemavu haswa wanaotumia magari ya magurudumu maarufu Wheel Chairs. Kwa mujibu wa mkurugenzi katika idara ya huduma za jamii kaunti ya Marsbit Galgallo Okotu ni kuwa zoezi[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Idara ya maji katika kaunti ya Marsabit imesaamba tenki za plastiki za maji za lita 5,000 kwa kaya 450 za hapa jimboni Marsabit. Akizungumza wakati wa zoezi hilo afisa mkuu katika idara ya maji Roba Galma, amesema kuwa zoezi hilo linalenga kupunguza changamoto za uhaba wa maji,[Read More…]
Na Grace Gumato Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka saba amefariki hii leo katika eneo la Songa baada ya kuumwa na nyoka hapo jana. Afisa mtendaji katika hospitali ya rufaa ya Marsabit Kusu Abduba amesema kuwa mtoto huyo alifikishwa katika hospitali hiyo akiwa amefariki saa za usiku. Aidha amesema kuwa[Read More…]