Kesi ya uchafuzi wa mazingira Kargi na Maikona yapangiwa kutajwa Juni 11.
Na Samuel Kosgei Mahakama ya Mazingira na Ardhi mjini Isiolo imeipa jamii ya maeneo ya Kargi na…
Nauli za mabasi Moyale–Nairobi zapanda huku abiria wakilalamika
Na Samuel Kosgei Wawakilishi wa wafanyabiashara pamoja na washikadau wa sekta ya usafiri wa umma…
Viongozi wa marsabit watakiwa kuzungumzia mijadala ya kitaifa badala ya kukimya huku wakaazi wakiathirika.
Na Samuel Kosgei Viongozi wa Marsabit wametakiwa kuwa mstari wa mbele kuzungumzia masuala ya kitaifa…
Mtoto wa siku moja aliyetupwa aokotwa viungani mwa mji wa Marsabit.
Na Abdilaziz Yusuf Mtoto mchanga wa siku moja amepatikana aliyetupwa na mamake ameokolewa katika eneo…
Watu watatu wapigwa risasi mguu wa kushoto kila mmoja katika jaribio la wizi, Merille
Na Caroline Waforo. Maafisa wa polisi katika kaunti ya Marsabit wanachunguza tukio na ambapo watu…
Jamii yalaumiwa kwa kutelekeza jukumu la kulinda haki za watoto wa kike, Marsabit
Na JB Nateleng Jamii katika kaunti ya Marsabit imelaumiwa kwa kushindwa kuwalinda watoto wa kike…
Wanaharakati wataka polisi wachukuliwe hatua kwa kudaiwa kumshambulia kijana mmoja mjini Marsabit
Na Samuel Kosgei Wanaharakati wa haki za binadamu kaunti ya Marsabit wanazitaka idara za usalama…
Vijana mjini Marsabit washiriki maandamano kulalamikia unyakuzi wa ardhi inayozozaniwa mpakani mwa Marsabit na Wajir.
Na JB Nateleng Vijana mjini Marsabit wameshiriki maandamano leo alhamisi kulalamikia kile wanadai ni unyakuzi…
Wakazi wa Marsabit walalamikia kutotekelezwa kwa miradi wanayopendekeza katika mikutano ya kutoa maoni kuhusu bajeti.
Na Samuel Kosgei Wakazi wa kaunti ya Marsabit leo Alhamisi waliwasilisha mapendekezo yao ya miradi…
Mwanafunzi wa miaka 14 afariki wakati wa maandamano mjini Moyale
Na Caroline Waforo Mwanafunzi wa miaka 14 amefariki dunia baada ya kupigwa risasi tumboni, huku…
Kituo cha uokozi wa waathiriwa wa gbv kujengwa hospitali ya Rufaa ya Isiolo.
Na Samuel Kosgei Mamlaka ya kusimamia barabara kuu nchini KENHA kupitia mradi wa Horn of Africa…
Wazee wa jamii ya Borana, Moyale wataka kuachiliwa kwa wazee wawili wanaozuiliwa
Na Mwandishi wetu Wazee wa jamii ya Borana kutoka eneo-bunge la Moyale kaunti ya Marsabit…