Kamishna wa Marsabit James Kamau atoa onyo kali kwa wezi wa mifugoÂ
Na Carolina Waforo Kamishna wa kaunti ya Marsabit James Kamau ametoa onyo kali kwa wafugaji…
Watu wawili wahukumiwa kifungo cha miaka 15 jela kwa kosa la mauaji, Marsabit
Watu wawili walioshtakiwa katika mahakama kuu ya Marsabit kwa kutekeleza mauaji ya kijana mmoja kutokana…
Viongozi wapya wa muungano wa wafanyikazi wa umma Marsabit waahidi kutetea haki za wanachama
Na Nyabande Orwa Viongozi wa Muungano wa wafanyikazi wa umma kaunti ya Marsabit wameahidi kulinda…
Baba akamatwa kwa tuhuma za kujaribu kumnajisi mwanawe wa miaka 12, Loglogo
Na Caroline Waforo Mwanaume mmoja amekamatwa na maafisa wa polisi kwa tuhuma za kujaribu kumnajisi…
Marsabit kuipa kipaumbele uchimbaji visima na mabwawa kukabili uhaba wa maji.
Na Samuel Kosgei Idara ya Maji katika Kaunti ya Marsabit imesema kuwa itaipa kipaumbele miradi ya uchimbaji…
Wazazi Laisamis watakiwa kupeleka watoto shuleni
Na Nyabande Orwa Naibu Kamishna wa Kaunti ndogo ya Laisamis, Kepha Mwaribe, amewataka wazazi kuhakikisha…
Wafugaji waendelea kuhimizwa kuchukua tahadhari msimu huu wa mvua
Na JB Nateleng Wito umetolewa kwa wafugaji kuchukua tahadhari wakati huu ambapo idara ya utabiri…
Marsabit yaadhimisha siku ya wanyama duniani
Na Nyabande Orwa Kaunti ya Marsabit imeungana na dunia nzima kusherehekea siku ya wanyama duniani…
Idara ya kilimo Marsabit yahimiza wakulima kuchangamkia mvua za mapema.
Na Samuel Kosgei Wakulima katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kuchangamkia msimu wa mvua unaoonekana kuanza…
Jamii za Marsabit zahimizwa kukomesha ubaguzi dhidi ya makundi maalum
Na JB Nateleng Wananchi katika kaunti ya Marsabit wamahimizwa kukomesha ubaguzi dhidi ya makundi maalum…
Wananchi Marsabit watakiwa kuchukua tahadhari wakati huu idara ya MET imetabiri mvua katika baadhi ya maeneo
Na Caroline Waforo Wakaazi katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kuchukua tahadhari wakati huu ambapo idara…
Baadhi ya maeneo kaunti ya Marsabit kuendelea kupokea mvua katika kipindi cha siku saba zijazo
Na Caroline Waforo Utabiri wa hali ya hewa katika kipindi cha siku saba zijazo kuanzia…