Featured Stories / News

Rais William Ruto wataka mawaziri wote kufanya kazi hadi usiku kunyoosha mambo

Na Machuki Dennson Rais William Ruto amewafahamisha mawaziri wapya kuwa hawana budi ila kufaulu katika kazi zao kama mawaziri. Rais amesema kuwa yuko tayari kufanya nao kazi kuhakikisha wanafaulu katika utendakazi kwa wakenya bila ya kufeli. Amesema atawapa msaada wowote wanaohitaji ili kuwahudumia wakenya kama ilivyo katika katiba ya Kenya.[Read More…]

President William Ruto’s Nominee Penninah Malonza Rejected as Minister

By Machuki Dennson The National Assembly Committee on Appointments on Tuesday unanimously rejected the appointment of Tourism Cabinet Secretary nominee Peninah Malonza. According to the Committee’s vetting report tabled by Majority Leader Kimani Ichung’wa before Parliament on Tuesday afternoo, Malonza was the only CS rejected by the 17-member committee. The[Read More…]

Kenyan, Tanzanian, Indian or British? New UK Prime Minister Rishi Sunak To Become First non-white as he is all Britain, Asian and African.

By Machuki Dennson Rishi Sunak will be the UK’s next prime minister after Penny Mordaunt dropped out of the Tory leadership race in the final minutes before nominations closed. Moudaunt could not garner 100 nominations by the Conservative party members as of the deadline time 2pm UK’s time to enable[Read More…]

SENTECING FOR TERROR CONVICTS POSTPONED

By Radio Jangwani The High Court has today postponed the delivery of judgement in an appeal filed by the Garissa University terrorist attack convicts. In a Notice published on the Judiciary website, the Judiciary stated that the Lady Justice Githua had been transferred and all pending judgements before her will[Read More…]

Wakenya wahamia kununua vitu vya bei rejareja kufuatia kupanda kwa bei

By Radio Jangwani Gharama ya maisha imesababisha watumiaji wa bidhaa kuanza kutumia bidhaa ya bei za chini ili kukidhi mahitaji yao ya kifedha. Kulingana na utafiti wa kampuni ya geopol, watu wengi wamepunguza idadi ya bidhaa wanazotumia, wengine wakiacha kununua bidhaa ambazo si za dharura. Wengi wamepunguza usafiri na kuanza[Read More…]

Jamaa afungwa jela miaka mitano pekee Marsabit kwa kosa la unajisi

Na Grace Gumato Mwanaume mmoja kutoka Loiyangalani amehukumiwa miaka 5 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 12 mwaka uliopita. Akitoa hukumu hiyo Hakimu wa mahakama ya Marsabit Simon Arome amesema mahakama imeridhishwa na ushahidi uliowasilishwa mbele yake kuwa mtuhumiwa alitekeleza unyama huo. Puna[Read More…]

Subscribe to eNewsletter