WAKAAZI KATIKA KAUNTI YA MARSABIT WATAKIWA KUCHUKUA TAHADHARI MSIMU HUU WA MVUA
April 23, 2025
Na Mwandishi Wetu MTU mmoja ameuawa na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya majambazi kuvamia kijiji kimoja nje kidogo ya mji wa dukana usiku wa kuamkia leo. Kamishna msadizi wa divisheni ya Dukana Nazarene Njuki amedhibitisha kisa hicho akisema kuwa tayari idara ya usalama imeimarisha doria katika eneo hilo wakishirikiana na[Read More…]
Na JB Nateleng, Visa vya ukosefu wa ajira sawa na utepetevu kwenye malezi vimetajwa kama chanzo kukuu cha ongezeko la visa vya dhulma za kijinsia katika kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa shirika la MWADO mwanaharakati Nuria Gollo ni kwamba iwapo vijana watakosa kujukumishwa basi huenda wakawa na[Read More…]
Na JB Nateleng, Visa vya ukosefu wa ajira sawa na utepetevu kwenye malezi vimetajwa kama chanzo kukuu cha ongezeko la visa vya dhulma za kijinsia katika kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa shirika la MWADO mwanaharakati Nuria Gollo ni kwamba iwapo vijana watakosa kujukumishwa basi huenda wakawa na[Read More…]
Na JB Nateleng, Ipo haja ya kutoa hamasa kwa jamii kuhusu umuhimu wa kuwachagua wanawake kuwa viongozi katika nyanja mbalimbali jimboni Marsabit. Haya ni kwa mujibu wa Mkurugenzi wa shirika la MWADO, Mwanaharakati Nuria Gollo. Nuria aliyezungumza na meza yetu ya habari kwa njia ya kipekee amesema kuwa bado jamii[Read More…]
Wananchi watakiwa kutoa taarifa ili kufanikisha operesheni ‘Ondoa Jangili’ Marsabit. Na Mwanahabari Wetu Huku operesheni Ondoa Jangili Marsabit ikiendelea wananchi wametakiwa kutoa taarifa muhimu ambazo zinaweza saidia katika kufanikisha operesheni hiyo. Haya yalibainika hapo jana wakati wa mkutano wa amani kati ya taifa la Kenya na lile la Ethiopia kufuatia[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Wito umetolewa kwa wakaazi wa wadi ya Illeret hapa jimboni Marsabit kujitokeza ili kupata vitambulisho katika zoezi la usajili linaloendelea kwa sasa. Kwa mujibu wa msajili wa watu katika kaunti ya Marsabit Isaac Kibet ni kuwa zoezi hilo la siku kumi limesimamiwa na katibu katika idara ya[Read More…]
Na JB Nateleng, Jamii imetakiwa kuwapokea waathiriwa wa dhulma za kijinsia na kuwaonyesha upendo. Haya ni kwa mujibu wa Mtawa Mourine kutoka shirika la st Teresa Charity Sisters jimboni Marsabit. Mtawa Mourine ameelezea kuwa kumekuwa na visa ambapo wanajamii wanakataa kumpokea waathiriwa wa dhulma za kijinsia baada ya kunusuriwa na[Read More…]
Na Carol Waforo Wito wa amani unaendelea kutolewa kwa wakaazi wa Marsabit na haswa walio katika maeneo ya mpaka wa kenya na Ethiopia. Haya ni baada ya kushuhudiwa kwa visa vya utovu wa usalama katika eneo la Dukana nchini Kenya na eneo la Dillo nchini Ethiopia ambapo kijana moja raia[Read More…]
Na Caroline Waforo, Serikali za nchi za Kenya na Ethiopia kwa pamoja zimeanza mchakato wa kutafuta amani ya kudumu mpakani kufuatia matukio ya utovu wa usalama ya hivi maajuzi ambapo kijana moja raia wa Kenya aliuawa kwa kupigwa risasi katika eneo la Dukana eneo bunge la North Horr kaunti ya[Read More…]
Na JB Nateleng Ili kujenga kanisa lenye matumaini ni Lazima wakristu waweze kushirikiana kwa kueneza neno la Mungu Haya yamewekwa wazi na watawa wa shirika la evangelizing sisters of Mary jimboni Marsabit wakisema kuwa lengo la kanisa ni kuwaleta wakristu pamoja na kuwafanya waishi kwa upendo. Watawa hawa wamesema kuwa[Read More…]