Featured Stories / News

Idara ya maeneo kame na ustawi miji kwa ushirikiano na NDMA yawakabidhi wakaazi wa Dadach Lakole gari la kusambaza maji maarufu (Water Bowser) ….

Na Abdiaziz Yusuf, dara ya maeneo kame na ustawi miji kwa ushirikiano na mamlaka ya kupambana na majanga NDMA hii leo imekabidhi gari la kusambaza maji maarufu (water bowser) kwa wakaazi wa dadach lakole wadi ya Butiye katika juhudi za kupambana na kero la ukosefu wa maji katika eneo hilo.[Read More…]

Wafugaji Narok,wahimizwa kukukubali chanjo kutolewa kwa mifugo wao….

Na Isaac Waihenya, Naibu Gavana wa Narok, Tamalinye Koech amewahimiza wafugaji kutoka kaunti hiyo kukukubali chanjo kutolewa kwa mifugo wao akisema kwamba itakuwa ya manufaa zaidi kwani mifugo hao watalindwa dhidi ya magonjwa mbalimbali. Akizungumza na waadhishi wa habari naibu Gavana huyo amesisitiza haja ya wananachi kutopotoshwa na watu wanaolenga[Read More…]

Serikali yazindua operesheni kali ya Ondoa Jangili katika kaunti za Marsabit na Isiolo.

Na Waandishi Wetu, Serikali kupitia idara ya polisi nchini imezindua operesheni kali ya Ondoa Jangili katika kaunti za Marsabit na Isiolo. Operesheni hii inalenga kuwaondoa wahalifu kutoka kundi la Oromo liberation Army {OLA} linaloaminika kuendeleza shughuli za uhalifu katika kaunti hizi mbili ikiwemo biashara ya bunduki harama na ulanguzi wa dawa za kulevya[Read More…]

Subscribe to eNewsletter