Featured Stories / News

Serikali yazindua operesheni kali ya Ondoa Jangili katika kaunti za Marsabit na Isiolo.

Na Waandishi Wetu, Serikali kupitia idara ya polisi nchini imezindua operesheni kali ya Ondoa Jangili katika kaunti za Marsabit na Isiolo. Operesheni hii inalenga kuwaondoa wahalifu kutoka kundi la Oromo liberation Army {OLA} linaloaminika kuendeleza shughuli za uhalifu katika kaunti hizi mbili ikiwemo biashara ya bunduki harama na ulanguzi wa dawa za kulevya[Read More…]

Mahakama – Kesi ya mauaji ya watoto mapacha yaliyofanyika Marsabit hayatasuluhushwa nje ya mahakama kupitia mfumo (AJS)

Na Caroline Waforo Kesi ya mauaji ya watoto mapacha katika eneo la Dololo, kaunti ndogo ya Dukana kaunti ya Marsabit haitasuluhushwa nje ya mahakama kupitia mfumo mbadala wa sheria maarufu Alternative Justice System. Haya yamewekwa wazi na hakimu mwandamizi wa mahakama ya Marsabit Simon Arome. Arome amezunguma wakati wa kikao[Read More…]

Wazee waonywa dhidi ya kusuluhisha kesi za dhulma za kijinsia vijini…

NA ISAAC WAIHENYA, Wakaazi wa kaunti ya Marsabit wameonya dhidi ya kutumia njia mbadala za kusuluhisha kesi nje ya mahakama kusuluhisha kesi za dhulma za kijinsia. Onyo hii limetolewa na waziri wa jinsia katika kauti ya Marsabit Jeremiah Ledanyi. Akizungumza wakati wa zoezi lililoyaleta pamoja mashirika ya kijamii,maafisa wa serekali[Read More…]

Chanjo ya mifugo inalenga kupanua soko la mifugo nchi na kimataifa.

Na caroline waforo Huku serikali ikitarajiwa kuzindua mpango wa chanjo kwa mifugo nchini wafugaji jimboni Marsabit wameendelea kufafanuliwa kwamba chanjo hiyo sio ya lazima japo wameelezwa kuwa ina manufaa mengi. Akizungumza na shajara ya radio jangwani kaimu mkurugenzi wa madaktari wa mifugo jimboni Marsabit Boku Bodha amesema kuwa chanjo hiyo[Read More…]

Subscribe to eNewsletter