Featured Stories / News

JAMII YA MARSABIT YATAKIWA KUJITOKEZA KUPIMWA UGONJWA WA MENINGITIS ILI KUPATA MATIBABU MAPEMA.

 Jamii ya Marsabit imetakiwa kujitokeza kupimwa ugonjwa wa Meningitis ili kuhakikisha kwamba wanapata matibabu mapema. Kwa mujibu wa daktari Stive Sereti anayeshughulikia wagonjwa wanaougua maradhi hayo katika hospitali ya rufaa ya Marsabit ni kuwa ni vyema kufanyiwa vipimo vya mara kwa mara vya ugonjwa huo kwani unaadhiri hadi watoto. Akizungumza na[Read More…]

MOHAMED NANE AMEWEKA WAZI SABABU YA KUSUSIA UCHANGUZI WA LEO.

Mwenyekiti wa shirikisho la mpira wa miguu tawi la Marsabit Mohamed Nane ameweka wazi kuwa amesusia uchanguzi wa leo kutokana na mpinzani wake kuwashawishi wapiga kura kwa misingi ya kikabila. Nane ambaye hakuwasili katika ukumbi wa uchanguzi wala kutuma ajenti wake ametaja kwamba mpizani wa Godana Roba Adi amewashawishi wapiga[Read More…]

Tamasha la muziki ya watoto wa PMC laanza Marsabit

Mashindano ya Muziki ya Watoto wa PMC yameanza rasmi leo katika Kanisa Katoliki la Marsabit. Akizungumza na idhaa hii, Andrew Abdub ambaye ni mwenyekiti wa parokia, amesema kuwa vigango vinne vitashiriki katika tamasha hilo. Alisisitiza kwamba lengo la mashindano ya leo ni kutafuta washiriki watakaowakilisha dayosisi ya Marsabit katika tamasha[Read More…]

WAZAZI MARSABIT WATAKIWA KUASI MILA YA KUCHANJA WATOTO WANAOCHELEWA KUTEMBEA

Baadhi a desturi ambayo wazazi wanatumia kuwatibu watoto waliochelewa kutembea imetajwa kuathiri watoto wengi na hata kuwaletea shida za kimwili. Kulingana na Waqo Huqa ambaye ni daktari anayeshughulikia ulemavu watoto amesema wazazi wengi hutumia njia ya kitamaduni ambazo zinaathiri maisha ya watoto  na hata kuwasababishia ulemavu. Huqa akizungumzia mila hizo,[Read More…]

Aliyekuwa meneja wa Tume ya Haki na Amani (CJPC) katika shirika la Caritas Marsabit Gabriel Gambare azikwa katika eneo la Hula Hula.

Risala za rambi rambi zilisheheni katika misa ya wafu iliyofanyika katika kanisa katoliki ya Maria Consolata (Cathedral) hapa jimboni Marsabit kwa ajili ya kuombea mwendazake Gabriel Gambare aliyekuwa meneja wa Tume ya Haki na Amani (CJPC) katika shirika la Caritas Marsabit. Gambare ametajwa kama mtu aliyejijali na kuwasaidia wasiojiweza katika jamii, na alikuwa[Read More…]

Subscribe to eNewsletter