Kaunti ya Marsabit kupata hospitali ya level six.
Na Nyabande Orwa
Rais William Ruto ametangaza mpango wa kujenga hospitali ya rufaa ya ngazi ya sita (Level 6) katika kaunti ya Marsabit kwa gharama ya shilingi bilioni 1.3.
Wakati uo huo rais Ruto amewarai wakazi wa kaunti hii kujiandikisha katika SHA kama njia moja ya kupokea huduma za afya pasi na kuwa na tatizo lolote.
Vile vile ametoa onyo kwa hospitali zinazoendelea kuwaitisha pesa Wakenya wanapofika hospitalini.
Kadıköy Su Kaçağı Tamiri
Kadıköy Su Kaçağı Tamiri Yenişehir mahallesindeki evime sorunsuz ulaştılar.
Kadıköy Zemin Altı Su Kaçağı Tespiti
Kadıköy Zemin Altı Su Kaçağı Tespiti Termal kamera görüntüleriyle güven verdiler.



2 comments