Viongozi wa kidini wakemea kisa cha mauaji ya mapacha Dukana, Marsabit
January 24, 2025
Na Talaso Huka,
Swala la ukame jimboni lilichangia pakubwa katika kuongeza kwa visa vya dhulma za kijinsia.
Haya amekaririwa na waziri wa jinsia katika kaunti ya Marsabit Jeremiah Ledanyi.
Akizungumza na Radio Jangwani kwa njia ya kipekee waziri Ledanyi ametaja kwamba wafugaji walipoteza mifugo kutokana na ukame jambo lilipelekea wengi wao kurejea vijijini na kupelekea ongezeko la visa vya dhulma za kijinsia.
Aidha waziri Ledanyi ameirai jamii kuwashika mkono vijana na kuwapa motisha ili kuhakikisha kwamba wanapiga hatua za maisha huku akiwataka vijana kuangazia kuhusu kubuni ajira kuliko kutegema tu kuajiriwa.