Viongozi wa kidini wakemea kisa cha mauaji ya mapacha Dukana, Marsabit
January 24, 2025
Na Adho Isacko,
Mwakilishi Wa Wadi Ya Marsabit Ya Kati Hassan Jarso Amewasihi Wafanyikazi Wa Kampuni Ya Majitaka Ya Sino-Hydro Kurudi Kazini Kufuatia Mgomo Wao Ambao Umeingia Siku Ya 5 Hii Leo.
Akizungumza Nao Nje Ya Afisi Ya Kamishna Wa Kaunti Hii, Jarso Amewaambia Kuwa Wameweza Kuzungumza Na Maafisa Wakuu Wa Kampuni Hiyo Na Wameamua Kuwa Malalamishi Yote Ya Wafanyikazi Hao Yataweza Kutekelezwa Haraka Iwezekanavyo.
Jarso Amesema Kuwa, Wameweka Kamati Na Maafisa Wa Leba Ili Waweze Kupata Pesa Ambazo Wafanyikazi Wale Walikua Wamekatwa..
Pia Majeruhi Wote Ambao Wamepata Majeraha Kazini Na Wote Ambao Waliaga Dunia Kazini, Watahakikisha Kuwa Wamepata Haki Na Wanapokea Fidia
Kulingana Na Wafanyikazi Hao, Viongozi Wa Kampuni Hiyo Ambao Ni Wachina Wamekuwa Wakiwadhulumu Kwa Miaka Miwili Sasa, Na Tangu Miaka Miwili Iliyopita Wamekuwa Wakilalamikia Dhuluma Lakini Malalamishi Yao Yameambulia Patupu.
Wanadai Kuwa Mara Kwa Mara Wanajitokeza Kuzungumza Na Wakuu Wao Lakini Hakuna Chochote Kinachofanyika.
Aidha Wafanyikazi Hao Wamesema Kuwa Suluhu Walioyaelezwa Na Mwakilishi Wadi Jarso Ni Maneno Tu Na Hawatarudi Kazini Hadi Pale Ambapo Wataona Kuna Mabadiliko.