Viongozi wa kidini wakemea kisa cha mauaji ya mapacha Dukana, Marsabit
January 24, 2025
By Mark Dida,
Mahakama Ya Marsabit Imeahirisha Kutajwa Kwa Kesi Ya Washukiwa Wawili Wa Uwindaji Haramu James Legalorah Na Leserian Lejir Waliopatikana Na Kilo 51.5 Za Pembe Wiki Mbili Zilizopita Katika Eneo La Lag Malgis Kaunti Ya Marsabit.
Hii Ni Baada Ya Washukiwa Hao Kutakiwa Wajitenge Kwa Siku 14 Baada Yao Kupimwa Virusi Vya Corona.
Kwa Mujibu Wa Hakimu Wa Mahakama Marsabit Collins Ombija Ni Kuwa Kesi Hiyo Itatajwa Tena Tarehe 05 Mwezi Januari Mwaka Ujao.
Wawinda Haramu Hao Walifikishwa Mahakamani Tarehe 03 Mwezi Huu Na Kukana Mashtaka Dhidi Yao.