Viongozi wa kidini wakemea kisa cha mauaji ya mapacha Dukana, Marsabit
January 24, 2025
Huku muhula wa kwanza katika kalenda ya masomo ukiendelea wafugaji jimboni Marsabit wamehimizwa kuwapeleka wanao shuleni.
Ni himizo ambalo limetolewa na mhifadhi wa msitu wa Marsabit Mark Lenguro ambaye anasema kuwa baadhi ya wafugaji wanawanyima watoto haki yao ya kupata elimu kwa kuwapa majukumu nyumbani.
Serikali imekuwa ikisisitiza haja ya watoto kupata haki ya elimu huku wazazi wanaokiuka haki hiyo wakionywa vikali.
Kadhalika wafugaji wametakiwa kulisha mifugo wao kwa amani huku msimu wa kiangazi ukiwa tayari umeanza kushuhudiwa.