Marehemu padre Frank atajwa kama mtu mkarimu aliyependa kusaidia wasiojiweza katika jamii.
January 22, 2025
Serekali ya kaunti imeweka mikakati kuhakikisha kwamba watoto wa kurandaranda wanashugulikiwa vilivyo na kurejeshwa shuleni.
Hayo yamekaririwa na afisa mkuu katika idara ya jinsia kaunti ya Marsabit Anna Maria Ndege.
Akizungumza wakati wa mkao wa kuzindua kamati itakayoshughulikia maswala ya watoto wanaorandaranda katika kaunti ya Marsabit chini ya usimamizi wa bodi ya Street Family Rehabilitation Trust Fund, Anna Maria amutaja mji wa Moyale kama moja ya maeneo yaliyoadhirika zaidi na idadi ya juu ya watoto wa mitaani.
CUE IN…ANNA MARIA ON HOT SPOTS
Aidha Anna Maria amesema kuwa japo hakuna data zozote za idadi ya watoto wanaorandaranda mitaani ila idadi ya watoto wanaorejeshwa shule kutoka mitaani baada ya zoezi sawa na hili kuanza imaimarika.
CUE IN…ANNA MARIA ON DATA
Kwa upande wake mkurugenzi katika idara ya maendeleo ya jamii kaunti ya Marsabit ameitaja hatua hiyo kama itakayosaidia kupiga jeki maendeleo ya jamii katika kaunti ya Marsabit.
CUE IN…MUSEE ON MAENDELEO
Hata hivyo kwa mwanachama wa bodi ya Street Family Rehabilitation Trust Fund Jackson Nyabuto amesema kwamba bodi hiyo ilitashirikiana na kaunti maafisa wa watoto kuhakikisha kwamba zoezi la kuwarejesha shuleni watoto wanaorandaranda mtaani linafaulu.
CUE IN…NYABUTO ON MARSABIT