Marehemu padre Frank atajwa kama mtu mkarimu aliyependa kusaidia wasiojiweza katika jamii.
January 22, 2025
KUNA haja ya wafugaji katika kaunti ya Marsabit kufundishwa ujuzi wa ukulima badala ya kutegemea ufugaji pekee yake.
Susan Aleiya kutoka Loglogo ambaye ni mkulima na mfugaji pia ameitaka idara ya kilimo eneobunge la Laisamis kuwapa wafugaji elimu ya kilimo pia ili kunufaika na mazuri wakati maji au mvua ipo.
Aleiya akizungumza na shajara katika eneo la mradi wa unyunyizaji wa sirata kaunti ndogo ya Loglogo amesema kuwa ukosefu wa ujuzi na maarifa ya ukulima ndio changamoto kuu ya wafugaji katika eneo hilo kutojihusisha na kilimo cha unyunyizaji licha ya maji kuwepo.
Ameongeza kuwa changamoto nyingine inayowarudisha nyuma nyuma ikija ni zoezi la kilimo anasema ni ukosefu wa mvua ya mara kwa mara.