Marehemu padre Frank atajwa kama mtu mkarimu aliyependa kusaidia wasiojiweza katika jamii.
January 22, 2025
By Waihenya Isaac
Zoezi la kuwasajili makurutu watakaojiunga na kikosi cha jeshi KDF limekalika rasmi Katika kaunti ya Turkana huku idadi ya wanawake na wanaume waliohitimu kujiunga na kitengo cha wanahewa ikiwa ndogo sana.
Kwa mujibu wa afisa aliyesimamia oparesheni hiyo Kanali Kitonyi ni kuwa zoezi hilo lilikumbwa na chagamoto ya vyeti vya baadhi ya vijana waliojitokeza kukosa kuambatana na majina yao yaliyomo kwenye vitambulisho.
Vijana wa eneo hilo wanaopania kujiunga na kikosi cha jeshi Katika siku za usoni wameshauriwa kutilia maanani masomo ya hesabu na Fizikia Katika kidato cha nne kwani hawatafaa sana Katika kosi mbambali ziku za usoni.
Aidhaa Wazazi Katika eno hilo walitaja kuwa zoezi hilo lilifanyika kwa njia ya huru na haki.