Marehemu padre Frank atajwa kama mtu mkarimu aliyependa kusaidia wasiojiweza katika jamii.
January 22, 2025
By Mark Dida,
Kaunti ya Meru imeaanda kikao cha kuhusisha umma katika kujadili mswaada wa BBI huku kamati mbili zikiweza kujukumiwa kuhamasisha umaa kuhusiana na ripoti hiyo.
kamati hizo ambazo ni ile ya sheria na ile ua utangamano na uhusiano mwema katika kaunti ya Meru ziliandaa zoezi hilo ili kufikia kaunti zote ndogo 11 kabla ya kujalidi Kuhusu kuupitisha mswada huo au la.
Kulinga na mwenyekiti wa kamati inayohusiana na maswala ya sheria Kinywa Mchuguru ni kuwa tayari wanaendelea kuhusiha wakazi wote kabla kurejea kungeni tahere 23 mwezi huu kujua hatma ya BBI.
Hata hivyo wakazi wa eneo hilo wanaendelea kutoa hisia tofati huku wengine wakiomba serikali kuogeza muda zaidi ili kupata nafasi ya wao kuisoma na kuielewa ripoti hiyo.