National News

MWENYEKITI WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU FKF TAWI LA MARSABIT MOHAMED NANE AMEKANUSHA MADAI KUWA AMEJIUZULU.

Mwenyekiti wa shirikisho la mpira wa miguu FKF tawi la Marsabit Mohamed Nane amekanusha madai kuwa amejiuzulu na kujiondoa katika kinyanganyiro cha mweyekiti wa shirikisho hilo kwenye uchaguzi mkuu wa Disemba 11 mwaka huu. Akizungumza na Radio Jangwnai kwa njia ya simu, Mohamed Nane ameutaja uvumi huo kama propaganda zinzoenezwa[Read More…]

Read More

CHAMA CHA WALIMU (KNUT) MARSABIT YAPATA MWENYEKITI MPYA.

Chama cha kutetea maslahi ya walimu (KNUT) tawi la Marsabit kimechagua mwalimu Kula Lula Omar kuwa mwenyekiti wake mpya kwenye uchaguzi mdogo ulifanyika mjini Marsabit siku ya Jumamosi. Kula sasa anajaza nafasi hiyo iliyoachwa wazi na mumewe aliyeaga dunia mwanzoni mwa mwaka Huu. Nafasi hiyo ilikuwa imevutia wagombeaji wawili ambao ni Kula[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter