National News

RAIA WAWILI WA ETHIOPIA NA MKENYA MOJA WAMESHTAKIWA KATIKA MAHAKAMA YA MARSABIT KWA KUMILIKI SILAHA HARAMU.

Na Caroline Waforo, Raia wawili wa Ethiopia na mkenya moja wameshtakiwa katika mahakama ya Marsabit kwa mashtaka kadhaa ikiwemo kumiliki silaha haramu. Washukiwa hao ambao wanajumuisha mkenya Roba Sora almaarufu Kolo, raia wa Ethiopia Rob Jarso almaarufu Salo pamoja na Galgallo Boro almaarufu Halkano walikamatwa tarehe 15 mwezi Oktoba mwaka[Read More…]

Read More

SHIRIKA LA KWS MARSABIT LAWARAI WANANCHI KUCHUKUA KUJITOKEZA KUTEMBELEA MBUGA MBALIMBALI ZA WANYAMA HAPA JIMBONI. – JUMAMOSI HII TAREHE 28.

Na JB Nateleng, Kufuatia agizo la serekali la kuwaruhusu wakenya kutembelea mbuga za Wanyama bila malipo jumamosi hii, shirika la wanyamapori (KWS) Marsabit limewashauri wananchi kuchukua fursa hii na kutembelea mbuga mbalimbali za  Wanyama hapa jimboni. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya Kipekee, msimamizi wa Mbuga za wanyama pori[Read More…]

Read More

MASHIRIKA YANAYOENDELEZA VITA DHIDI YA DHULMA ZA KIJINSIA JIMBONI MARSABIT YANAPANIA KUUNDA KAMATI MAALUM YA KUANGAZIA NAMNA YA KUPUNGUZA VISA HIVYO.

Na Isaac Waihenya & Kame Wario, Mashirika yanayoendeleza vita dhidi ya dhulma za kijinsia hapa jimboni Marsabit yanapania kuunda kamati maalum ya kuangazia namna ya kupunguza visa hivyo hapa jimboni. Kwa mujibu wa afisa wa miradi katika shirika la MWADO Mary Nasibo, ni kuwa kamati hiyo itarahisisha mambo na kuhakikisha[Read More…]

Read More

WITO UMETOLEWA KWA WAKAZI WA MARSABIT KUASI VITENDO AMBAVYO VINAPOTOSHA MAADILI NA KUPELEKEA ONGEZEKO LA IDADI YA VIJANA WANAOTUMIA MIHADARATi.

Na Isaac Waihenya, Wito umetolewa kwa wakazi wa Marsabit kuasi vitendo ambavyo vinapotosha maadili na kupelekea ongezeko la idadi ya vijana wanaotumia mihadarati. Kwa mujibu wa mwanaharakati anayepambana na matumizi ya mihadarati na dawa za kulevya hapa jimboni Fredrick Ochieng, ni kuwa vijana wa kizazi hiki wanajifunza mambo mengi kupitia[Read More…]

Read More

IDARA YA UVUVI YAWATAHADHARISHA WAKAAZI JIMBONI KUACHA KUTUMIA USAFIRI WA MAJINI KWA SASA KUTOKANA NA MAWIMBI NA KUPANDA KWA MAJI YA ZIWA TURKANA.

Na JB Nateleng, Kama njia mojawepo ya kuzuia ajali katika ziwa Turkana, idara ya uvuvi imewatahadharisha wakazi jimboni kuacha kutumia usafiri wa majini kwa sasa kutokana na kuwepo kwa  mawimbi na kupanda kwa maji ya ziwa Turkana. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya simu, Sostine Nanjali ambaye ni afisa[Read More…]

Read More

WAKAAZI WA MARSABIT WATOA HISIA ZAO KUHUSIANI NA KUWEPO KWA NJAMA ZA KUMBANDUA MAMLAKANI NAIBU WA RAIS RIGATHI GACHAGUA.

Na Isaac Waihenya & Abiaziz Abdi & Kame Wario, Wakaazi wa Marsabit wametoa hisia zao kuhusiani na kuwepo kwa njama za kumbandua mamlakani naibu wa rais Rigathi Gachagua. Baadhi ya waliozungumza na Shajara ya Radio Jangwani wametaja kwamba iwapo kuna njama ya kumgo’a mamlakani naibu wa rais Rigathi Gachagua, basi[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter