National News

POLISI KAUNTI YA MARSABIT WAMUUA MHALIFU MMOJA KATIKA ENEO LA BADASA BAADA YA JARIBIO LA WIZI WA MIFUGO KUTIBUKA

Polisi katika kaunti ya Marsabit wamemuua mhalifu mmoja katika eneo Badasa baada ya jaribio la wizi wa mifugo kutibuka. Akithibitisha kisa hicho kamanda wa polisi kaunti ndogo ya Marsabit ya kati, Edward Ndirangu amesema kuwa kisa hichi kilijiri jana saa sita mchana, ambapo watu waliokuwa wamejihami na bunduki walivamia wafugaji[Read More…]

Read More

BAADHI YA VIJANA WA KIZAZI KIPYA ALMAARUFU GEN ZS KATIKA MJI WA MARSABIT WATOA HISIA ZAO KUHUSISNA NA KAULI INAYOZAGAA KUWA HAWASAIDII WAZAZI WAO.

Na Naima Abdullahi, Baadhi ya vijana wa kizazi kipya almaarufu Gen Zs katika mji wa Marsabit wametoa hisia zote kuhusisna na kauli inayozagaa kuwa hawasaidii wazazi wao. Wakizungumza na Radio Jangwani vijana hao walilaumu ugumu ya maisha kama ya moja ya changamoto zinazopelekea wao kutowasidia wazazi. Aidha baadhi ya Gen[Read More…]

Read More

WANAMARSABIT WATAKIWA KUWATUNZA WAZEE NA KUWAEPUSHA NA MADHARA.

Na Naima Abdullahi & Kame Wario, Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya wazee duniani hapo jana,jamii ya Marsabit imetakiwa kuwatunza wazee ili kuwaepusha na madhara. Kwa mujibu wa afisa wa huduma za jamii katika kaunti ya Marsabit Habiba Ailo Adan ni kuwa jamii inafaa kuwatunza wazee na kuasi kasumba ya kuwatelekeza.[Read More…]

Read More

VIJANA KAUNTI YA MARSABIT WASHAURIWA KUWASAIDIA WAZAZI WAO KUJISAJILI KWENYE BIMA MPYA YA AFYA YA SHIF.

Na JB Nateleng & Abdilaziz Abdi, Vijana katika kaunti ya Marsabit wameshauriwa kuwasaidia wazazi wao kujisajili kwenye bima mpya ya afya ya SHIF. Kwa Mujibu wa naibu kamishna wa Marsabit ya kati David Saruni ni kuwa vijana wanauwezo wa kusaidia serekali kusajili watu wengi kwa sababu wanauzoefu wa kutumia mitandao[Read More…]

Read More

USALAMA WAIMARISHWA MPAKANI MWA KENYA NA ETHIOPIA BAADA YA KILIPUZI KUPATIKANA KATIKA ENEO LA BALES SARU KAUNTI NDOGO YA DUKANA KAUNTI YA MARSABIT.

Na JB Nateleng, Usalama umeimarishwa  katika maeneo ya mpakani mwa Kenya na Ethiopia baada ya kilipuzi kupatikana katika eneo la Bales Saru kaunti ndogo ya dukana kaunti ya Marsabit. Akizungumza na wanahabari DCC wa eneo la Dukana Njuki Nazarene amesema kuwa kilipuzi hicho kilipatikana na wafugaji ambao walikuwa wanaendelea na[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter