Editorial

USALAMA WAIMARISHWA KATIKA KIJIJI CHA ABBO,SOLOLO KATIKA KAUNTI YA MARSABIT BAADA YA UVAMIZI SIKU YA JUMAPILI.

Usalama umeimarishwa katika kijiji cha Abbo kaunti ndogo ya Sololo katika kaunti ya Marsabit baada ya zaidi ya wahalifu wapatao 20 wanaoaminika kutoka nchi jirani ya Ethiopia kuvamia kijiji hicho na kuanza kufyatua risasi kabla ya kutoweka kuelekea eneo la Dukale nchini Ethiopia. Kulingana na kamanda wa polisi kaunti ya[Read More…]

Read More

MITIHANI YA KITAIFA KCSE INAENDELEA KWA NJIA INAYOFAA – ASEMA MKURUGENZI WA ELIMU KAUNTI YA MARSABIT PETER MAGIRI.

Huku mtihani wa kitaifa ya KCSE ukiingia wiki yake ya pili hii leo,mkurugenzi wa elimu kaunti ya Marsabit Peter Magiri amesema kwamba zoezi hilo limekuwa likiendelea vyama kama ilivyoratibiwa. Akizungmza na Shajara ya Radio Jangwani afisini mwake, Magiri amesema kuwa licha ya mvua chache ambazo zimeshuhudiwa katika maeneo kadhaa hapa[Read More…]

Read More

POLISI WAFANIKIWA KUNASA ZAIDI YA KILO 200 ZA BANGI ENEO LA KAMBI SAMAKI GARBATULLA, ISIOLO.

Polisi katika kaunti ya Isiolo wamefanikiwa kunasa zaidi ya kilo 200 za bangi katika eneo la Kambi Samaki kaunti ndogo ya Garbatulla. Akidhibitisha kisa hicho Kamanda wa polisi kaunti ya Isiolo Moses Mutisya amesema bhangi hiyo yenye thamani ya shilingi milioni 6 ilikuwa ikisafirishwa kuelekea Garissa. Washukiwa walifanikiwa kutoroka. Kamanda[Read More…]

Read More

WASHUKIWA WAWILI WA WIZI WA KIMABAVU WATIWA MBARONI MJINI MARSABIT.

Washukiwa wawili wa wizi wa kimabavu wamekamatwa mjini Marsabit. Wawili hao Boru Wako almaarufu Wako Abakula na Abdirahman Hussein almaarufu Churuka walikamatwa mwishoni mwa wiki kwa kuhusishwa na visa mbalimbali vya wizi wa kimabavu mjini Marsabit na viunga vyake. Akithibitisha hili OCPD wa Marsabit Central Edward Ndirangu amesema kuwa wawili hao ni kati ya[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter