Vijana wazidi kutiwa shime kupigania haki zao nchini.
January 21, 2025
Na JB Nateleng & Naima Abdullahi, Wanabodaboda katika kaunti ya Marsabit wametoa Rai kwa idara ya usalama jimboni kuweza kuangazia upya maamuzi ya kupiga marufuku uendeshaji wa boda boda masaa ya usiku. Baadhi ya waliozungumza na idhaa hii wamesema kuwa itakuwa ni afueni iwapo idara ya usalama itaandaa mkao na[Read More…]
Na Talaso Huka. Mahakama ya Marsabit imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja au bodi ya shilingi 100,000 mwanaume mwenye umri wa makamu kwa kosa la kuharibu mali ya dhamana ya shilingi 15,000. Akitoa uamuzi huo hakimu Christine Wekesa amempata mstakiwa Hassan Duba na makosa ya kuharibu mali ya Dida Kara tarehe[Read More…]
Na JB Nateleng & Naima Abdullahi Wakazi wa Marsabit wametoa hisia zao kuhusiana na mgomo wa manesi ambao umeanza hii Leo kote nchini wakisema kuwa mgomo huu unahatarisha maisha ya wananchi ambao wanategemea huduma za afya kutoka kwa hospitali za umaa. Baadhi ya waliozungumza nasi wamesema kuwa mgomo wa manesi[Read More…]
NA ISAAC WAIHENYA Jamii ya Marsabit imetakiwa kuwalinda wanyamapori pamoja na mazingira ili kuzuia mizozo kati ya wanadamu na wanayamapori. Kwa mujibu wa mratibu wa maswala ya mazingira Justus Nyamu ni kuwa japo kaunti ya Marsabit haijaripoti visa vya uwindaji haramu ila bado ipo hoja ya kuhifadhi wanyama pori hao.[Read More…]
Na Caroline Waforo, Idara ya usalama mjini Marsabit imepiga marufuku huduma za bodaboda masaa ya usiku. Kulingana na OCS wa Marsabit Central Edward Mabonga marufuku hiyo inatekelezwa kuanzi saa tano usiku hadi saa kumi asubuhi. Hii ni katika jitihada za kuimarsha usalama wa kutosha mjini Marsabit kufuatia kuongezeka kwa visa[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Waadishi wa habari hapa jimboni Marsabit wametakiwa kufunguka kuhusiana na maswala yanayowadhiri ili kujizuia dhidi ya msongo wa mawazo. Kwa mujibu wa mwanahabari Abraham Dale ambaye kwa sasa anafanaya kazi na shirika lisilo la kiserekali la MWADO ni kuwa muda mwingi wanahabari hukosa kuzungumza kuhusiana na yale[Read More…]
Na Caroline Waforo, Onyo kali limetolewa kwa vijana wanaoendelea kuwahangaisha wakaazi mjini marsabit kwa kujihusisha na visa vya wizi. Hii ni baada ya duka moja kuvunjwa usiku wa kuamkia leo katika eneo la 680 viungani vya mji wa Marsabit na mali ya dhamana isiojulikana kuibiwa. Akithibitisha kisa hicho OCPD wa[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Idara ya elimu katika kaunti ya Marsabit imeweka mikakati kabambe ili kuzuia visa vya uchomaji wa shule kutokea hapa jimboni. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Marsabit Peter Magiri ni kuwa idara ya elimu imehakikisha kwamba iko makini ili kuzuia kutokea kwa visa vya[Read More…]
Na JB Nateleng & Naima Abdullahi, Mwanamme mmoja aliyeripotiwa kupotea miezi mitatu iliyopita amepatikana akiwa ameiga dunia katika crater ya Goff Arero eneo bunge la Saku,kaunti ya Marsabit. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipekee chifu wa eneo Qiltu Korma Alex Ali Goresa, amesema kuwa mwanamme huyo na ambaye[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Gavana wa kaunti ya Marsabit Mohamed Ali ametuzwa kama Gavana mchapa kazi bora zaidi katika eneo la ukanda wa mashariki ya juu kwenye tuzo za ETA Awards mwaka wa 2024. Kwenye hafla ya tuzo hizo iliyoandaliwa katika mkahawa wa kifari wa Samara mjini Machakos, pia Gavana Ali[Read More…]