Wizara ya afya Marsabit yadhibitisha uhaba wa chanjo ya BCG kama ilivyo kote nchini.
January 16, 2025
Wanaume wawili wa umri wa makamu wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani kwa kosa la wizi wa kimabavu. Mahakama ya Marsabit imeelezewa kuwa mnamo tarehe 21 mwezi Agosti mwaka 2023 katika makutano ya Muslim Agency, Marsabit mjini Kuri Roba Sora na Halkano Guyo Halakhe kwa ushirikiano na mshukiwa mwingine moja[Read More…]
Na Naima Abdullahi, Baadhi ya vijana wa kizazi kipya almaarufu Gen Zs katika mji wa Marsabit wametoa hisia zote kuhusisna na kauli inayozagaa kuwa hawasaidii wazazi wao. Wakizungumza na Radio Jangwani vijana hao walilaumu ugumu ya maisha kama ya moja ya changamoto zinazopelekea wao kutowasidia wazazi. Aidha baadhi ya Gen[Read More…]
Na Naima Abdullahi & Kame Wario, Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya wazee duniani hapo jana,jamii ya Marsabit imetakiwa kuwatunza wazee ili kuwaepusha na madhara. Kwa mujibu wa afisa wa huduma za jamii katika kaunti ya Marsabit Habiba Ailo Adan ni kuwa jamii inafaa kuwatunza wazee na kuasi kasumba ya kuwatelekeza.[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Wito umetolewa kwa wananchi Marsabit kuhakikisha kwamba wanawalinda watoto haswa wakati wa likizo ndefu ya mwezi Disemba mwaka huu. Kwa mujibu wa afisa wa watoto katika kaunti ya Marsabit Mukanzi Leakey ni kuwa visa vya dhulma za watoto vimepungua katika kaunti ndogo za Moyale,Saku na North Horr[Read More…]
Na JB Nateleng & Abdilaziz Abdi, Vijana katika kaunti ya Marsabit wameshauriwa kuwasaidia wazazi wao kujisajili kwenye bima mpya ya afya ya SHIF. Kwa Mujibu wa naibu kamishna wa Marsabit ya kati David Saruni ni kuwa vijana wanauwezo wa kusaidia serekali kusajili watu wengi kwa sababu wanauzoefu wa kutumia mitandao[Read More…]
Na JB Nateleng, Usalama umeimarishwa katika maeneo ya mpakani mwa Kenya na Ethiopia baada ya kilipuzi kupatikana katika eneo la Bales Saru kaunti ndogo ya dukana kaunti ya Marsabit. Akizungumza na wanahabari DCC wa eneo la Dukana Njuki Nazarene amesema kuwa kilipuzi hicho kilipatikana na wafugaji ambao walikuwa wanaendelea na[Read More…]
Na JB Nateleng, Naibu kamishna wa Marsabit ya Kati David Saruni ametoa wito kwa jamii ya Marsabit kutowaficha watu wanaoishi na ulemavu na badala yake kuwalinda na kuwatunza kama watu wengine. Saruni amesema kuwa wakazi wa Marsabit wanafaa kuasi Mila potovu inayowadunisha watu wanaoishi na ulemavu kwa sababu imepitwa na[Read More…]
Na Isaac Waihenya & Abdilaziz Abdi, Badhii ya manahodha wa vilabu vya kabumbu katika eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit wamelalamikia kile wamekitaja kuwa ni kufungiwa nje kwenye uchaguzi mkuu wa kuwachagua viongozi wa michezo katika jimbo la Marsabit Wakizungumza na waadishi wa habari hapa mjini Marsabit manahodha hao[Read More…]
Na Isaac Waihenya & Abdilaziz Abdi, Badhii ya manahodha wa vilabu vya kabumbu katika eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit wamelalamikia kile wamekitaja kuwa ni kufungiwa nje kwenye uchaguzi mkuu wa kuwachagua viongozi wa michezo katika jimbo la Marsabit Wakizungumza na waadishi wa habari hapa mjini Marsabit manahodha hao[Read More…]
Na Isaac Waihenya & Abdilaziz Abdi, Ni aslimia 30 pekee ya watu wanaoishi katika miji ya Marsabit wanapata maji safi ya matumizi. Haya ni kwa mujibu wa afisa mkuu katika idara ya maji hapa jimboni Marsabit Rob Galma. Akizungumza na Radio Jangwani kwa njia ya kipekee wakati wa hafla ya[Read More…]